Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34

Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34

Ndugu yetu ana umri gani?

Kuna aina 2 za Kisukari, Type 1 na 2..

Type 1 huwa wanachoma Insulini maisha yao yote. Hawa ni wale ambao Kongosho zao hazizalishi homoni ya Insulini, hivyo miili yao haina Insulini kwa hiyo inabidi aipate kwa sindano.

Type 2 huwa wanatumia vidonge. Hawa ni wale ambao Kongosho inazalisha Insulin vizuri tu, ila seli za mwili hazina uwezo wa kuifyonza ile Insulin, hivyo inabidi sasa wapewe dawa zinazosaidia mwili kufyonza Insulin.

Kwa hiyo watamfanyia vipimo na watampa matibabu kulingana na aina ya Kisukari alicho nacho hapo juu.
Ana umri wa miaka32...nakapata sukari ndo ana wiki moja tangu apate hii sukari..nauliza je kama kapata sukar ktk huu Umri ukubwa anaweza kuwa na hiyo type1 maana anachomwa insulin..
 
kama uko dar na haujui hospto Bora ni ipi , itakuwaje huyu wa mbinga au mtukula
 
Ana umri wa miaka32...nakapata sukari ndo ana wiki moja tangu apate hii sukari..nauliza je kama kapata sukar ktk huu Umri ukubwa anaweza kuwa na hiyo type1 maana anachomwa insulin..
Kwa sababu ndiyo ana wiki tu basi watamfanyia vipimo ili kujua ana type ipi ya Kisukari.

Wagonjwa wa Kisukari kilicholeta hiyo complication au wanaopandwa na sukari ghafla huwa wanachomwa Insulini ili kuishusha haraka, maana ina act haraka kulinganisha na vidonge. Hii haijalishi mgonjwa ni type 1 au type.
 
Navip insulini ataendekea nsyo mda wote ndo itakua matibabu yake au mbeleni itabadilika akatumia vidonge
 
Habari wakuu,

Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.

Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.

Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Muhimbili huduma nzuri mno akifika pale emergency tu mnavyopokewa anaanza kupona by the time mnapelekwa wodini mgonjwa mnamuona kabisa uhai umesheheni.
Na sio sukari tu hata magonjwa mengine muhimbili wanajua bhana.Mimi ni shuhuda nilihangaika na kijana amana huko na wapi the time mafika Muhimbili kwanza walishangaa diagnosis za hiyo hospitali ingine.Waka undo wakaanza upya, mgonjwa alianza kupata nafuu pale pale emergency.
 
Navip insulini ataendekea nsyo mda wote ndo itakua matibabu yake au mbeleni itabadilika akatumia vidonge
Wakimpima wakakuta ni type 1, basi maisha yake yote atatumia insulin. Maana yake ni kwamba mwili hauzalishi insulin kabisa.

Ikiwa atakuwa na type 2, basi ataanza kumeza vidonge ataachana na insulini.
 
Muhimbili huduma nzuri mno akifika pale emergency tu mnavyopokewa anaanza kupona by the time mnaoekekwa wodini mgonjwa mnamuona kabisa uhai umesheheni
Ndugu wabongo wengi tuna "Government Hospital Syndrome", yani tunaziona kama sehemu ya kifo.

Ila kiukweli hospitali za serikali hasa hizi kubwa wana huduma zilizonyooka sana.
 
Wakimpima wakakuta ni type 1, basi maisha yake yote atatumia insulin. Maana yake ni kwamba mwili hauzalishi insulin kabisa.

Ikiwa atakuwa na type 2, basi ataanza kumeza vidonge ataachana na insulini.
Kipimo Gani kinapima kujua sukari hii nitype 1 au sukar hii ni type 2...je kwamtu wamiaka32 sukar kapatia Umri huu mkubwa wa miaka 32 anaweza kuugua type 1 ?
 
Ndugu wabongo wengi tuna "Government Hospital Syndrome", yani tunaziona kama sehemu ya kifo.

Ila kiukweli hospitali za serikali hasa hizi kubwa wana huduma zilizonyooka sana.
Mkuu mim lengo lilikua kutoka aman kwa referral kwenda muhimbili na muhimbili kwenyewe nliambiwa kitengo Cha sukari nimloganzila,Sasa Amana wakagoma kutoa referral nailikua niweekend nkaona nimpeleke Hindu Mandal ila dhumuni ilikua ni muhimbili maana namim nna clinic ya THYROIDs
 
Ndugu wabongo wengi tuna "Government Hospital Syndrome", yani tunaziona kama sehemu ya kifo.

Ila kiukweli hospitali za serikali hasa hizi kubwa wana huduma zilizonyooka sana.
Vip mkuu kwahali hii ya sukar ya mgonjwa wangu inavochezea 13-18,mfano akichwa insulini saa kumi na mbili jion Kisha akala baada yakuchomwa insulin akilala mpaka kufikia saa tano usiku ukipma sukar unaikuta 16 naakilala Hadi asubub saa moja akipimwa sukar inakua 18...Leo nisiku ya tano tangu atumie insulin na dozi yake ya insulin nimara mbili kwa siku nauliza kwanin sukari yake haishuki zaid ya hapo pamoja nakuwa anatumia insulin..je anaweza akawa na tatizo jingine linalofanya sukari isishuke zaid ya hapo ..alikua na Sumu iliyotokana na sukar DKA ila waliitoa yote na pia cleton pia ilitolewa yote
 
Ndugu wabongo wengi tuna "Government Hospital Syndrome", yani tunaziona kama sehemu ya kifo.

Ila kiukweli hospitali za serikali hasa hizi kubwa wana huduma zilizonyooka sana.
Nilikua nampamgo wakwenda kumpeleka muhimbimbili vip
 
Wanachofanya hospital ni kujitahidi tu kushusha Sukari , lakini kiuhalisia sukari ni ndogo maana yake Sukari haifiki kwenye Seli ili kuwa Energy na kuleta nguvu mwilini

Tabibu Joseph ( Tiba asili )

Ukiona mtu antokwa jasho sana bila sababu , hasa wakati amelala usiku, anapata Kiu mara kwa mara , halafu anakosa nguvu

Katika nature hiyo ni “ Hot toxin high “

Hii aina ya sumu ndiyo Husababisha vyote hivyo vinavyoendelea mwilini mwake

Pancreas inapozalisha Insulin ili iende kwenye Seli kupitia Receptor huwa haifiki , kwa sababu Receptor imevamiwa na hii aina ya sumu ( Hot toxin ) hivyo kushindwa kutambua sukari na kuacha kuongezeka kwenye damu . ( Organ function disorder).

Ndio maana inaweza Shuka na kupanda tena , kwa sababu hiyo shida hawaitoi ili mwili uweze kufanya Kazi vizuri na kuondokanq na hiyo shida !

TREATMENT PLAN :
1. Clear hot toxin in the body
2. Balance energy kwenye Mifumo kama Figo , Tumbo , Ini , ili tatizo lisirudi tena
3. Improve Circulation for more recovery

Baada ya matibabu haya , sukari itakaa sawa pamoja na mwili mzima !

Cont : +255757577995 / +255653048888
View attachment 3124890
Umepata pa kufanyia uhuni
 
Habari wakuu,

Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.

Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.

Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Mkuu Nenda kwa Dr.Abbas Karikakoo, yeye ndiye bingwa wa Sukari Mjini hapa...Lakini pia Sindano za insulin kwa mgongwa anayeanza kuumwa ni risk kubwa, nenda pale hakikisha utafika mapema kunakuwaga na foleni kubwa
 
Kumtibu mgonjwa Kuna taratibu zake ww tulia madaktar wafanye kazi zao acha kuwashinikiza
 
DKA hiyo, ukiishusha inashuka kupitiliza na unabidi uipandishe, ikipanda inashuka, ni heka heka hizo ndugu shida sio mvumilivu na usipokuwa mvumilivu basi sidhani kama kuna mtoa huduma atataka kukaa na ww maana utamtia stress tu, jiongeze ongea nao vzr utapewa maelezo vzr, ukibwabwaja bila staha basi na ww watakupotezea
Habari wakuu,

Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.

Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.

Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
 
Sijapima. Nishashahau Kunis. Lkn najicontrol kwa vyakula. Ninesahau kula aina zote za ngano. Na mara chache natumia brown, wali natumia wa basmati pekee. Michele wa mbeya ni sumu.

Kwa ujumla kuna dalili ikitokea najua sukari umepanga.

Lkn kubwa nashukuru serikali ya ccm. Kwa ukame njlionao naishi kwa mlo mmoja kwa siku. Na naamini sukari imekimbia yenyewe.
Umepata wapi elimu kwamba Basmati rice Iko friendly kwa wenye Kisukari ??
Chonde chonde jamani tutakuja kuuwana
 
Mkuu Nenda kwa Dr.Abbas Karikakoo, yeye ndiye bingwa wa Sukari Mjini hapa...Lakini pia Sindano za insulin kwa mgongwa anayeanza kuumwa ni risk kubwa, nenda pale hakikisha utafika mapema kunakuwaga na foleni kubwa
Yaap huyu ndio mwamba hapa mjini kwa sasa
 
Back
Top Bottom