Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Watampima kiwango cha insulin mwilini..Kipimo Gani kinapima kujua sukari hii nitype 1 au sukar hii ni type 2...je kwamtu wamiaka32 sukar kapatia Umri huu mkubwa wa miaka 32 anaweza kuugua type 1 ?
Yes, hata watu wazima wanapata type 1 pia...