Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34

Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34

Habari wakuu,

Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.

Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.

Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Nichek pm, I'm serious
 
Q az

Mkuu najua ila sio kwahuduma naziziona hapa ...hivi mkuu ww unataka kupata taarifa za maendeleo ya mgonjwa wako unamuuliza NES anakufokea anakufukuza anakujibu njoo bas umuhudumie ww hapo utasema kunahuduma
Mgonjwa anaendeleaje?? Endelea kutumia dawa na nakupa dawa hii kaifanye majibu utaleta,,,, unajua mdudu anaitwa dondola huwa anajenga nyumba yupo kama nyuki?? Sasa chukua ile nyumba maanisha ule udongo loweka masaa kadhaa kwenye maji safi na salama na hayo maji kila akisikia kiu mpe ukianza baada ya siku mbili nipe majibu .
 
Hali ya mgonjwa Bado kwakweli..maana sukari akichomwa insulin inashika Hadi 8 akikaa masaa sita akija pimwa Tena imepanda Hadi 18
 
Dalili zote alizoonesha hapo awali ni za kisukari. Inashangaza katika kipindi kifupi mmemuanzishia sindano za insulin. Mlipaswa kuanzia na dawa za vidonge na kufanya mabadiliko katika mlo wake wa kila siku ili kudhibiti kupanda kwa sukari. Sindano za insulin zingetumika baada ya kubaini kuwa Kwa kipindi kirefu hizo dawa hazisaidii katika kupinguza kiwango cha sukari. Kwa sasa hapo maandidhi mengi Sana kuhusu ugonjwa huu. Piteni huko ili muone jinsi ya kuudhibiti ugonjwa huu. Hilo la kutumia manyingu ni porojo Tu za kufurahisha jamvi. Hebu tujaribu kuwa serious katika kuwasaidia wenzetu na wala si wa kuwaletea mizaha.
 
Hali ya mgonjwa Bado kwakweli..maana sukari akichomwa insulin inashika Hadi 8 akikaa masaa sita akija pimwa Tena imepanda Hadi 18
Hali ya mgonjwa Bado kwakweli..maana sukari akichomwa insulin inashika Hadi 8 akikaa masaa sita akija pimwa Tena imepanda Hadi 18
Pole sana,,, msikilize docta anachokwambia na ufate pia soma nilichoandika pale juu ujaribu
 
Kisukari ni ugonjwa hatari usipothibiti mapema,na huambatana na presha ya juu na ukuchelewa huathiri figo nenda hosiptali kubwa akafanyiwe vipimo vya moyo, figo mimi nilikuwa imepata tatizo hilo nikaenda kituo cha afya ya serikali,nikapewa dawa ya kisukari yenye asili ya metformin haikushusa sukari nikaenda hospital nyingine private walichukua vipimo vya moyo,figo,wakanibadilishia dawa sasa niko ok sukari inacheza kati ya 6 na7 mara moja inafika 8 presha ilikuwa 185/109 lakini sasa 120/68.
 
Ulienda hospital gani ya private
 
Mwanzo unaanza kuugua ulikua nasukari ngapi
 
Habari wakuu,

Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.

Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.

Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Mkuu pole sana nitafute kwa wakati wako il nipate kumtibia maradhi mdogo wako ili apate kupona maradhi yake auguwe pole mdogo wako.
 
Kuna possibility kubwa kwamba magonjwa wako amedevelop diabetic ketoacidosis acidosis,,,na huwa ni mtiti kupambana nayo kwaio kua humble kama ujaridhirika na huduma zao omba kuondoka naye na piaa skiliza madr wanachosema uswe na mawazo ya eti vile unavowaza kwamba apone Sasa hvii kumbuka matibabu ni process sio sio bubaaamtu kapona
 
Back
Top Bottom