digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Taarifa zinaeleza kuwa mtu mmoja anayeshukiwa kuwa na virusi vya Corona nchini Kenya amepelekwa hospitalini.
Mshukiwa huyo amefikishwa hospitali kuu ya rufaa ya Kenyatta. Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa mtu huyo aliwekwa karantini alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.
Hapo jana Kenya iliitahadharisha raia wake kwenda mji wa Wuhan China, mpaka pale mlipuko wa virusi hivyo utakapodhibitiwa
Mungu tusaidie sana kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app