Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uganda walituletea ukimwi...Kenya mnataka kutuletea nini?
Tutavaa mask na kunawa mikono.Hehehe!! Mtakoma, tutawakoholea huko...
Hakuna na haitokuja hata siku moja Wakenya tuwe na roho nyeusi kama za Watanzania, hakuna uzi hata mmoja ulifunguliwa na Mkenya yeyote wa kuchekelea Tanzania, tatizo lenu kubwa ni ukosefu wa elimu, huwapa changamoto hadi kusoma na kuelewa kunawapa matatizo.
Sina tatizo la mleta mada kutuhabarisha kuhusu huu ugonjwa kushukiwa kwetu hapa, sisi sio waficha maradhi kama nyie, kile ninachomshauri ni atupatie taarifa kama alivyozikuta, asichanganye, mara anatuambia "ugonjwa umepatikana" mara "inashukiwa".
Kipindi cha Olasiti Arusha walichonga hao daa yaani waliongea sanaNzige wao, al shabab wao, ukabila wao, ukame wao, coronavirus wao, ufisadi na rushwa wao
Jamani hili taifa limelaaniwa au?
Wale nao wamezidi POPO wanatisha vile? Si waje kununua ng'ombe zetu huku?
Eti uoga, yani tusolve case ya ebola wenyewe afu utuite waoga. Sasa just imagine we dealt with it without WHO, external interference. Nyinyi msingewezaHatujui mlichoficha maana mligomea ukaguzi wa kitaalam kutoka kwa WHO, nakumbuka aliyetangaza uwezekano wa Ebola Tz alikua afisa wa serikalini huko, mkamfutia mbali kazi na kubana taarifa.
Inafahamika Ebola unaweza ukaificha aidha kwa kumnyongea mbali mshukiwa, au kumficha hadi afe au kumtibu kimya kimya maana matibabu yapo.
Sisi hatuna hizo tabia za hovyoo za uwoga uwoga kisa visenti vya utalii, umaskini kitu mbaya, tunaalika kila mmoja aje tushirikiane kama kweli hiki kirusi kiko huku, hata wataalam wenu tunawaalika tukiangamize kwa pamoja.
Eti uoga, yani tusolve case ya ebola wenyewe afu utuite waoga. Sasa just imagine we dealt with it without WHO, external interference. Nyinyi msingeweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikuwa Na njama za Kenya Na mabeberu kupandikiza ebora ili kudhorotesha uchumi wa tz ili kumkwamisha magufuli tukawa crash Na hizo njama zenu ndiyo sababu tulifichaHatujui mlichoficha maana mligomea ukaguzi wa kitaalam kutoka kwa WHO, nakumbuka aliyetangaza uwezekano wa Ebola Tz alikua afisa wa serikalini huko, mkamfutia mbali kazi na kubana taarifa.
Inafahamika Ebola unaweza ukaificha aidha kwa kumnyongea mbali mshukiwa, au kumficha hadi afe au kumtibu kimya kimya maana matibabu yapo.
Sisi hatuna hizo tabia za hovyoo za uwoga uwoga kisa visenti vya utalii, umaskini kitu mbaya, tunaalika kila mmoja aje tushirikiane kama kweli hiki kirusi kiko huku, hata wataalam wenu tunawaalika tukiangamize kwa pamoja.
Wakenya wanawivu sana Na tz wanaomba huo ugonjwa uingie Na tz kama utakuwa umeingia kwaoKimzaha mzaha utasikia upo Dodoma!!
Tumejifichaje fichaje yani, what do u exactly mean tumejificha, mara tunaogopa kupoteza visenti, vipi hivyo, hivi vya utalii tunavyovikusanya kuwazidi? Inakuuma sana eh, maana umeirudia kweli, seems unatamani tuvipoteze mvikusanye, si kwa jinsi ulivyoshupalia Ebola kuingia tz.Sisi tungeweza ila sio kwa kujificha ficha kwa uwoga wa kupoteza visenti vya utalii, sio mara moja tumejaribiwa kihivi na tukatoka bila bila kuficha soma hapa Kenya responded fast to Ebola scare, but cross-border risk remains high
Wewe una mtindio wa ubongo. Tumejifichaje fichaje yani, what do u exactly mean tumejificha, mara tunaogopa kupoteza visenti, vipi hivyo, hivi vya utalii tunavyovikusanya kuwazidi? Inakuuma sana eh, maana umeirudia kweli, seems unatamani tuvipoteze mvikusanye, si kwa jinsi ulivyoshupalia Ebola kuingia tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukaguliwa nn jamaa, sisi tuna uwezo wa kujikagua wenyewe na kumaliza issues zetu wenyewe, i wonder why it is a pain in your ass.Nini kingine kinaweza kusababisha mjifiche na kuogopa kukaguliwa.