Mgonjwa wa virusi vya Corona aripotiwa Kenya, mgonjwa wa kwanza apatikana

Mgonjwa wa virusi vya Corona aripotiwa Kenya, mgonjwa wa kwanza apatikana

Ugonjwa ukiingia tz ccm tuikate kabisa. Tuungane tumtoe rais madarakani na ajiuzulu kabisa kw a kushindwa kudhibiti. Hata Wakenya wawakatae viongozi wote walio madarakani. Tukishindwa kuwaondoa hawa viongozi tutakuwa mazwazwa wa kutupwa kwani wao wakiugua wanakwenda nje na ugonjwa ukiwa mkubwa wao na private jet nje wanatuachia ardhi tuangaike nayo. Wajinga sana hawa viongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa Na njama za Kenya Na mabeberu kupandikiza ebora ili kudhorotesha uchumi wa tz ili kumkwamisha magufuli tukawa crash Na hizo njama zenu ndiyo sababu tulificha

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwa mnatia huruma sana nyie, yaani dunia yote imekalia kuwahujumu nyie tu, inawawaza ninyi tu, huko kwenu kesi za uhujumu uchumi ndio imekua dili, mtu akizingua kidogo tu anatuhumiwa uhujumu.
Sidhani kama mngekua mumesalia hata mifupa kama ingekua kweli mnahujumiwa kwa jinsi huwa mnalialia.
 
Ugonjwa ukiingia tz ccm tuikate kabisa. Tuungane tumtoe rais madarakani na ajiuzulu kabisa kw a kushindwa kudhibiti. Hata Wakenya wawakatae viongozi wote walio madarakani. Tukishindwa kuwaondoa hawa viongozi tutakuwa mazwazwa wa kutupwa kwani wao wakiugua wanakwenda nje na ugonjwa ukiwa mkubwa wao na private jet nje wanatuachia ardhi tuangaike nayo. Wajinga sana hawa viongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL nimecheka
Anza kuwapanga wachina wadeal na rais wao kwanza
 
Back
Top Bottom