digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
[emoji1][emoji1][emoji1] Cool down, haijakuwa confirmed. Ila ndivyo dunia ya sasa ilivyo. KQ wanaoperate flight ya moja kwa moja kutoka Guangzhou, China. Jamaa alikuwa cleared na serikali ya China kusafiri ila KQ wakachukua tahadhari, alikuwa 'under quarantine' kwenye safari yote kutoka Uchina na alipofika Nairobi pia.Kimzaha mzaha utasikia upo Dodoma!!
Waafrika sisi ni wazembe sana, hata kuzuia watu kutoka China wasije nchini mpaka ugonjwa utakapodhibitiwa tunashindwa.
Huo ugonjwa ungetoka kwetu sijui kama tungeweza kwenda kwao kirahisi.
Sio kupimwa tuWakenya wanaokuja tz wapimwe
Waafrika sisi ni wazembe sana, hata kuzuia watu kutoka China wasije nchini mpaka ugonjwa utakapodhibitiwa Udhibiti Ufanye Maana Wanavyodondoka Wachina Ikija Huku TwafaKimzaha mzaha utasikia upo Dodoma!!
tunashindwa.Sio kupimwa tu
Wapigwe pin
Huo ugonjwa ungetoka kwetu sijui kama tungeweza kwenda kwao kirahisi.
Mbona unachanganya maneno, "mgonjwa wa kwanza apatikana" mara "anayeshukiwa". Tulia wacha mahaba, hiki kirusi sio kitu cha kutafutiana ligi, na kikitua hapa ujue na Tanzania haitapita siku moja kabla hakijaanza kuwatesa.
Nakumbuka mwaka jana wazungu walivyokuwa wanaeneza uwongo kuwa Tanzania Kuna ebola halafu cha kusikitisha zaidi wakenya wengi humu wakawa wanachekelea huku wakifungua nyuzi za kijinga za kuwaunga hao wazungu mkono,Kenya tukipata hata nyie mnapata. Kwa hivyo endeleeni kuchekacheka tu kama fisi.
Nakumbuka mwaka jana wazungu walivyokuwa wanaeneza uwongo kuwa Tanzania Kuna ebola halafu cha kusikitisha zaidi wakenya wengi humu wakawa wanachekelea huku wakifungua nyuzi za kijinga za kuwaunga hao wazungu mkono,
Hamkujua kuwa ile ebola ingekuwepo kweli Tanzania na nyie mngepata? Au kwa vile huo ugonjwa umeripotiwa hapo Kenya ndio leo unaamua kuitilia mkazo hiyo kauli!
Jifunzeni kuwa na akiba ya maneno.
Leo hii unakana? Sio wewe ulikuwa unafungua nyuzi zile za kulazimisha serikali ya Tanzania itangaze kuwa Tz Kuna ebola?Hakuna na haitokuja hata siku moja Wakenya tuwe na roho nyeusi kama za Watanzania, hakuna uzi hata mmoja ulifunguliwa na Mkenya yeyote wa kuchekelea Tanzania, tatizo lenu kubwa ni ukosefu wa elimu, huwapa changamoto hadi kusoma na kuelewa kunawapa matatizo.
Sina tatizo la mleta mada kutuhabarisha kuhusu huu ugonjwa kushukiwa kwetu hapa, sisi sio waficha maradhi kama nyie, kile ninachomshauri ni atupatie taarifa kama alivyozikuta, asichanganye, mara anatuambia "ugonjwa umepatikana" mara "inashukiwa".
Usisumbuke na hilo puuzi lisio jua baya la leo ndio zuri lakesho kwakeLeo hii unakana? Sio wewe ulikuwa unafungua nyuzi zile za kulazimisha serikali ya Tanzania itangaze kuwa Tz Kuna ebola?
Sio nyie mlifungua nyuzi eti ebola in East Africa?
Tena ukawa unafungua zile nyuzi wazungu wakilazimisha serikali ya Tanzania itangaze kuwa Tz Kuna ebola,
Kweli bumunda ni bumunda tu,
Leo hii huo ugonjwa umeripotiwa kwenu ndio unajifanya kutochekelea.
Halina tofauti na bumunda lililo umuka,Usisumbuke na hilo puuzi lisio jua baya la leo ndio zuri lakesho kwake
Lipo kama kibendera
Upepo ukipeleka kushoto nalo huko huko
Leo limekana kuiponda Tanzania juu ya Ebola feki
Kwakuwa tu kuna janga lina nyemelea Kenya!!
Leo hii unakana? Sio wewe ulikuwa unafungua nyuzi zile za kulazimisha serikali ya Tanzania itangaze kuwa Tz Kuna ebola?
Sio nyie mlifungua nyuzi eti ebola in East Africa?
Tena ukawa unafungua zile nyuzi wazungu wakilazimisha serikali ya Tanzania itangaze kuwa Tz Kuna ebola,
Kweli bumunda ni bumunda tu,
Leo hii huo ugonjwa umeripotiwa kwenu ndio unajifanya kutochekelea.
NI maradhi gani hayo tuliyaficha?Ndio nimesema nilishazoea mapungufu ya elimu yenu, huwa mumeganda sio mchezo aisei, angalia na urudie huo uzi wangu mara kumi nahisi utafahamu na kuelewa hamna sehemu Tanzania ililazimishwa kutangaza kama ina Ebola, kile mlikua mnaambiwa ni kwamba mtoe ushirkiano, waje wakagaue na kujiridhisha.
Sisi sio waficha maradhi kama mlivyo, hiki kirusi kama kimetajwa kushukiwa huku, waje wote tu wakague maabara, waingie mpaka jikoni, hatufichi maradhi, hii sio North Korea.
typical of nations run by tin-pot dictators.... trying to show as if everything is going on well..
cooking data and twisting facts
immigration wetu fungeni mpaka wetu na wa tz, watatuambukiza zika hawa jamaa, hata humu ndani kuna wenye kauli za hovyo, lazma wanaugua haya maradhi!
Ok![emoji1][emoji1][emoji1] Cool down, haijakuwa confirmed. Ila ndivyo dunia ya sasa ilivyo. KQ wanaoperate flight ya moja kwa moja kutoka Guangzhou, China. Jamaa alikuwa cleared na serikali ya China kusafiri ila KQ wakachukua tahadhari, alikuwa 'under quarantine' kwenye safari yote kutoka Uchina na alipofika Nairobi pia.KQ passenger from Guangzhou quarantined over fears of coronavirus - Citizentv.co.ke
A KQ passenger who arrived from Guangzhou with flu-like symptoms has been quarantined over fears of coronaviruscitizentv.co.ke