Mgonjwa wa virusi vya Corona aripotiwa Kenya, mgonjwa wa kwanza apatikana

Uganda walituletea ukimwi...Kenya mnataka kutuletea nini?
 
Kenya wako na shida, kuna nzige ambao ni janga la Taifa.

Mamlaka zina haha wapi pa kushika na wapi pa kuacha.

Ikiwa confirmed hiyo coronavirus shida itakuwa kubwa zaidi.

Sote twahitaji maisha mazuri na sehemu salama ya kuishi.

Tuwe na akiba ya maneno hasa wakati wa taabu ya upande mmoja maana hakuna ajuaye nani atapata nn kesho au baadaye.

Mungu atuepushe na majanga haya makubwa[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

😀😀😀😂 Watanzania hatuna elimu!
 
Nzige wao, al shabab wao, ukabila wao, ukame wao, coronavirus wao, ufisadi na rushwa wao
Jamani hili taifa limelaaniwa au?
 
Eti uoga, yani tusolve case ya ebola wenyewe afu utuite waoga. Sasa just imagine we dealt with it without WHO, external interference. Nyinyi msingeweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa Na njama za Kenya Na mabeberu kupandikiza ebora ili kudhorotesha uchumi wa tz ili kumkwamisha magufuli tukawa crash Na hizo njama zenu ndiyo sababu tulificha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vema serikali ingezuia watu wanaotoka China kuja nchini mwetu, Mimi nipo china ila sipo Wu han lkn siwezi kuja bongo, nitahatarisha maisha ya ndugu zangu. Hiki ni kirusi kibaya sana, kinafanya mutation ndani ya muda mfupi, mtu mmoja anaweza kuwaambukiza mpka watu 14 kwa muda mfupi ni hatari sana. Watu kutoka Congo DRC ndo wanajua kadhia wanayoipata wanaposafiri kuja china, wanasumbuliwa, wanawekwa Quarantine mpk siku 21 kabla ya kuachiwa kuendelea na mambo mengine, ni vema serikali zetu ziwe makini zaidi.
 
Sisi tungeweza ila sio kwa kujificha ficha kwa uwoga wa kupoteza visenti vya utalii, sio mara moja tumejaribiwa kihivi na tukatoka bila bila kuficha soma hapa Kenya responded fast to Ebola scare, but cross-border risk remains high
Tumejifichaje fichaje yani, what do u exactly mean tumejificha, mara tunaogopa kupoteza visenti, vipi hivyo, hivi vya utalii tunavyovikusanya kuwazidi? Inakuuma sana eh, maana umeirudia kweli, seems unatamani tuvipoteze mvikusanye, si kwa jinsi ulivyoshupalia Ebola kuingia tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nini kingine kinaweza kusababisha mjifiche na kuogopa kukaguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…