Nipo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga na nina mgonjwa ambaye tayari anaingia wiki ya pili tangu alazwe. Changamoto kubwa ni kwamba mgonjwa ana tatizo la mshipa uliovimba kichwani, na ameshauriwa kufanyiwa upasuaji (operation) haraka.
Hata hivyo, hadi sasa hatujapewa tarehe maalum ya kufanyiwa upasuaji huo. Kila tunapouliza, tunaambiwa kuwa kuna changamoto ya vifaa kutokuwa tayari au havijaingizwa kwenye mfumo. Hali hii inatupa wasiwasi mkubwa, kwa sababu muda unaendelea kwenda huku mgonjwa akiwa hajapatiwa matibabu anayohitaji.
Mbali na hilo, mgonjwa amewekwa kwenye chumba ambacho gharama yake ni kubwa sana zaidi ya shilingi laki moja kwa siku.
Kadri siku zinavyosonga mbele, gharama zinaendelea kuongezeka, huku bado hatujui ni lini atapata huduma ya upasuaji.
Kwa kweli hali hii inatupa mzigo mkubwa kifedha na kisaikolojia. Tunaomba uongozi wa hospitali pamoja na mamlaka husika kulifanyia kazi suala hili haraka, ili mgonjwa aweze kupata matibabu kwa wakati na kuepuka madhara zaidi.
Unazungumzia bandiko lipi? Sioni mahali ambapo mleta mada amedai mgonjwa atibiwe bure! Mleta mada analalamika kuhusu mgonjwa kutotibiwa kwa muda.Poleni na mgonjwa
Basi niwaambie, wabongo wengi huwa wanapenda kusema Ulaya matibabu ni bure, ukweli sio bure
Kila mwananchi awe mfanyakazi au kajiajiri lazima alipie kila mwezi kitu inaitwa kama huku NSSF, na hii kwao ni sheria kwa hiyo lazima ifuatwe
Yaani ukikutwa hulipii ni bonge la msala
Sasa huku kwetu haiwezekani, kuna bodaboda, mama ntilie, muuza mifuko, muuza chips, sijui muunga line, na majoblesi kibao, na hawa wote hawachangii chochote, itawezekana vipi matibabu yawe bure au rahisi?
Unajitambua?Poleni na mgonjwa

Majengo na vifaa vinapatikana kwa pesa ya CCM?Poleni na mgonjwa
Basi niwaambie, wabongo wengi huwa wanapenda kusema Ulaya matibabu ni bure, ukweli sio bure
Kila mwananchi awe mfanyakazi au kajiajiri lazima alipie kila mwezi kitu inaitwa kama huku NSSF, na hii kwao ni sheria kwa hiyo lazima ifuatwe
Yaani ukikutwa hulipii ni bonge la msala
Sasa huku kwetu haiwezekani, kuna bodaboda, mama ntilie, muuza mifuko, muuza chips, sijui muunga line, na majoblesi kibao, na hawa wote hawachangii chochote, itawezekana vipi matibabu yawe bure au rahisi?
Nawashauri kama uwezo upo mpelekeni mpendwa (mgonjwa) wenu nje ya nchi. Mtanishukuru baadaeNipo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga Kitengo cha mifupa (MOI) nina mgonjwa ambaye tayari anaingia wiki ya pili tangu alazwe. Changamoto kubwa ni kuwa mgonjwa ana tatizo la mshipa uliovimba kichwani, ameshauriwa kufanyiwa upasuaji (operation) haraka.
Hata hivyo, hadi sasa hatujapewa tarehe maalum ya kufanyiwa upasuaji huo. Kila tunapouliza, tunaambiwa kuna changamoto ya vifaa kutokuwa tayari au havijaingizwa kwenye mfumo. Hali hii inatupa wasiwasi mkubwa, kwa sababu muda unaendelea kwenda huku mgonjwa akiwa hajapatiwa matibabu anayohitaji.
Mbali na hilo, mgonjwa amewekwa kwenye chumba ambacho gharama yake ni kubwa sana zaidi ya shilingi laki moja kwa siku. Kadri siku zinavyosonga mbele, gharama zinaendelea kuongezeka, huku bado hatujui ni lini atapata huduma ya upasuaji.
Mpaka sasa tumeshatakiwa kulipia Shilingi 1,750,000/= hiyo ni gharama ya matibabu yanayoendelea, hapo bado hatujaletewa bili ya Kitanda, na pia hatujajua gharama ya upasuaji itakuwaje.
Kwa kweli hali hii inatupa mzigo mkubwa kifedha na kisaikolojia. Tunaomba uongozi wa hospitali pamoja na mamlaka husika kulifanyia kazi suala hili haraka, ili mgonjwa aweze kupata matibabu kwa wakati na kuepuka madhara zaidi.
Nani sasa anatakiwa kuweka mfumo utakaolazimisha hao wote walipie huduma afya? Wajiamulie weo wenyewe?Poleni na mgonjwa