GE2025 Mgore Miraji Kigera ashinda kwa kishindo kura za maoni CCM Jimbo la Musoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
My Take
Hakuna haja ya viti Maalumu maana wanawake wenye uwezo wapo
================
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Uchaguzi Jimbo la Musoma Mjini wamemchagua kwa kishindo Mgore Miraji Kigera kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mgore alipata kura 2,255, akimshinda mpinzani wake Juma Mokiri aliyepata kura 1,543. Kati ya kata 16 za jimbo hilo, Mgore ameshinda katika kata 13. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa mwanamke kupitishwa na wajumbe ndani ya CCM kugombea ubunge katika jimbo la Musoma Mjini kama mamlaka za juu za chama hicho zitaridhia.

Awali, watia nia zaidi ya kumi walijitokeza kuwania nafasi hiyo, akiwemo mbunge aliyemaliza muda wake, Vedastus Mathayo. Baada ya jina lake kukatwa na Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mathayo aliielekeza timu yake kumuunga mkono Juma Mokiri, lakini pamoja na muungano huo, Mgore Miraji amewatimulia vumbi

Jimbo la Musoma lina jumla ya kata 16, na upande wa madiwani umeibua sura mpya huku baadhi wakifanikiwa kutetea nafasi zao, akiwemo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Musoma, Capt. William Gumbo.
 
Ila CCM inajumuisha wabunge vilaza,huyu Mwajuma Miraji ataongea nini bungeni..nakumbuka nilikuwa napiga miaka hiyo tukakamatwa tukafukuzwa shule,kama ni ndugu yako mfikishie salamu zangu.ila kalikuwa karembo pamoja na yule dada yake..miaka inakimbia sana aisee
 
Kwanini walimkata

huyo jamaa(mathayo)alikua mpiga dili sana na hakuwa ana hangaika na shida za wananchi Wa musoma,Alikua mashirika mkubwa wa GUMBO(Huyu nae mzee wa dili sana nasikia ata huko kwenye vyombo vya ulinzi alifukuzwa Kwa Kwa kashifa za upigaji

David Matayo? AU SAMIA Hamtaki? Maana ccm ni ya samia kwa s
 
Ila CCM inajumuisha wabunge vilaza,huyu Mwajuma Miraji ataongea nini bungeni..nakumbuka nilikuwa napiga miaka hiyo tukakamatwa tukafukuzwa shule,kama ni ndugu yako mfikishie salamu zangu.ila kalikuwa karembo pamoja na yule dada yake..miaka inakimbia sana aisee
Wewe unaongea nini?
 
Umeni kumbusha ILE nyimbo ya mgore mgore mgore mama mgore. HAPO musoma Miaka HIYO sijawahi KWENDA KWENYE harusi HIYO nyimbo isipigwe.

Kwishaaa
 
My Take
Hakuna haja ya viti Maalumu maana wanawake wenye uwezo wapo
================
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Uchaguzi Jimbo la Musoma Mjini wamemchagua kwa kishindo Mgore Miraji Kigera kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mgore alipata kura 2,255, akimshinda mpinzani wake Juma Mokiri aliyepata kura 1,543. Kati ya kata 16 za jimbo hilo, Mgore ameshinda katika kata 13. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa mwanamke kupitishwa na wajumbe ndani ya CCM kugombea ubunge katika jimbo la Musoma Mjini kama mamlaka za juu za chama hicho zitaridhia.

Awali, watia nia zaidi ya kumi walijitokeza kuwania nafasi hiyo, akiwemo mbunge aliyemaliza muda wake, Vedastus Mathayo. Baada ya jina lake kukatwa na Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mathayo aliielekeza timu yake kumuunga mkono Juma Mokiri, lakini pamoja na muungano huo, Mgore Miraji amewatimulia vumbi

Jimbo la Musoma lina jumla ya kata 16, na upande wa madiwani umeibua sura mpya huku baadhi wakifanikiwa kutetea nafasi zao, akiwemo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Musoma, Capt. William Gumbo.
Dogo my take mwenyewe kafurahiiii
 
Back
Top Bottom