econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Wakishika Nchi watafanya reforms
Naongelea Jimbo la Musoma Mjini, sio nchi. Hii nchi mmeshaiharibu imekuwa kituko, CHADEMA wakiichukua watakuwa na kazi kubwa Sana ya kuirejesha kwenye mstari.
Wakishika Nchi watafanya reforms
Kwenye mstari ndio wapi na imeharibiakaje?Naongelea Jimbo la Musoma Mjini, sio nchi. Hii nchi mmeshaiharibu imekuwa kituko, CHADEMA wakiichukua watakuwa na kazi kubwa Sana ya kuirejesha kwenye mstari.
Kwenye mstari ndio wapi na imeharibiakaje?