Kamati kuu imeamua kununua lawama na ugomvi wote kikamilifu, yaani kamati ya Dodoma ndio inawaamulia wananchi wa mikoani wawakilishi wa kuwachagua...so shame!!!, kitendo Cha kukata wagombea ambao wanachama wanawahitaji ni upokaji na ubakaji wa haki yao ya kuchagua muwakilishi wamtakao