Mgote physics anakariri vitu, haelewi

Ndiomaana unakuwa na taifa la graduates waliokariri mitihani na maGPA makubwa ila kichwani hamna kitu.
Hawa ndio wanaosimamia vutengo vikubwa na ndiomaana mpaka leo hakuna maji mpaka Dar
 
La maana ujue Wazungu walijitahidi kuweka hizo kanuni ili sisi tukariri.
 
Physics mwamba alikuwa Elias kihombo

Anaelewa madude ya physics nje ndani.. na anameza nje ndanii..

Kwenye kuelewa anashinda na kwenye kumeza anashinda

Nina uhakika Elias pepa ya Advance physics ya popote duniani anapata A
R.I.P Elias Kihombo
 
R.I.P Muddy
 
Wewe uliyeeleewa hiyo Physics umelisaidia vipi taifa?

Walimu hawawezi kufanana hata siku 1, lazima uwepo utofauti hata kama wote wanafundisha kitu sawa.
 
**** mwamba alikuwa anaitwa ally abdalah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule ndo legend yani vitini vyake simple sanaa ukisoma unaenjoy sema sasa maliza kusoma alafu ukasolve maswali walahi utajua hujuiiii..

Naweza kusema labda ni baadhi ya vitini lakini vingi viko vyema sana mfano tronics & tele, circular na environmental ambayo hana mpinzani.
 
Mimi nilikuwa sio muhumini wa hizi notes hasa kwa physics..

Mimi ni Chand,Nelkon na Roger..
 
Mpk sas nimeamini kuelewa masoma kwa tz Ni pmj na kutema Kama ulivyo pewa na walimu Kama una bisha bas endelea kutafuta kuelewaa

Seema nn nimependa San mfumo wa sas mnk unakuta Kijan Ana gpa kubwa ila akifika utumishi ktk usaili wao Basi akipata San hatafuka 20 Wal 50 nin ushaihid huo Kuna jamaa zangu wanna gpa kubwa ila ajabu mkp leo hawajawi kuwin mitiani ya tume kwa kuwa tume wanatunga nondo nzito sna wanaopanguwa hizo nondo wengi Ni wale walio na gpa ndogo na kuwaburuza vipanga na gpa zao
 
Walimu wangepikwa wakaacha kucopy maswali kwenye Vitabu NECTA ,waweze kupika maswali ambayo hayapo kwenye rejea za Vitabu ndo utaona maajabu ya hapa bongo ,vijana watafeli kama kuku.
Wanakariri vitabu vya Roger, S chand na Paka sio! (Hii level inachekesha sana😀)
 
Physics mwamba alikuwa Elias kihombo

Anaelewa madude ya physics nje ndani.. na anameza nje ndanii..

Kwenye kuelewa anashinda na kwenye kumeza anashinda

Nina uhakika Elias pepa ya Advance physics ya popote duniani anapata A
Labda unazungumzia Classical/Newtonian Mechanics(physics).

Unaijua Quantum physics mkuu?
 
Physics mwamba alikuwa Elias kihombo

Anaelewa madude ya physics nje ndani.. na anameza nje ndanii..

Kwenye kuelewa anashinda na kwenye kumeza anashinda

Nina uhakika Elias pepa ya Advance physics ya popote duniani anapata A
Labda classical(NEWTONIAN) physics ila Sio Quantum physics.
 
Uwong changes za wapi hizo ambazo hatujawai kuziskia.
 
Alipata 100% Physics ya Advance 2003...NECTA wakaogopa wangeonekana wajinga wakasema amepata 98

Kingine utafikiri topic ya Organic Chemistry ametunga yeye na unajua ilivyo ngumu

Advance alimaliza mwaka 2006, kuhusu alama hiyo sijui
 
Advance alimaliza mwaka 2006, kuhusu alama hiyo sijui
Da umenikumbusha browang tumefanyanae sana kazi tulikua tunafundishanae pale tution center Mwenge mi nikiwa napiga chemia na bios yeye physics na adv mathematics ila hatimae mungu alimpenda zaid mnamo mwaka jana miezi ya katikati R.I.E.P Mr Kihombo Elias TO wa kihistoria
 
Dah hao wote wako njema ila me alini train bro wetu mmoja MTAMBO kwa kutumia vitini vya mgote jamaa yupo njema tulitoka nondo tukaenda kujipigia vibanda vyetu vya PHYZ kibosi

Show out to you bro'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…