Mgote physics anakariri vitu, haelewi

Mgote physics anakariri vitu, haelewi

Ukifanya kazi kwa wazungu hata kampuni zao hapa bongo halafu ufanye serikalini...utaona tofauti za kifikra.
Yani kwa wabongo wanafanya kazi kwa kukariri, kwasababu imekuwa ikifanyika hivyo jana na juzi hamna haja ya kubadilisha, na ukipropose mabadiliko watakupinga kwasababu wengi ni vilaza na wanaishi kwa kukariri.
Ndio sababu miaka 60 ya uhuru kila sekta imedorora hamna breakthrough
Hemu andika hoja ieleweke

Swali Nini maana ya kukariri, aliyekariri physcs yupoje??
 
Mgote kanifundisha na nimefanikiwa kupiga nae stories mara kadhaa ila ni mtu mweupe sana kwenye mambo ya nje tofauti na ufundishaji. Simsemi vibaya ila ni mtu ambaye hata application ya kile anachofundisha hajui kabisa kabisa. Nilimshangaa tofauti na walimu wenzake wa masomo mengine ambao angalau wanaweza jadili kitu wanachofundisha nje ya masomo.

Hilo la kukaririsha kila aliyesoma kwake mwenye uelewa na dunia inaendaje anajua, utaamua wewe ukariri au uelewe
 
dah pole kwa kusoma enz za magufuli na mama, mwalimu wangu wa physics bora, japo sikuendelea na maswala ya phyisics ila physics imekuwa hobby kwangu
Aah, ulishawahi hata kunusa kwa hao wawili mudy na mgote?
 
Mgote kanifundisha na nimefanikiwa kupiga nae stories mara kadhaa ila ni mtu mweupe sana kwenye mambo ya nje tofauti na ufundishaji. Simsemi vibaya ila ni mtu ambaye hata application ya kile anachofundisha hajui kabisa kabisa. Nilimshangaa tofauti na walimu wenzake wa masomo mengine ambao angalau wanaweza jadili kitu wanachofundisha nje ya masomo.

Hilo la kukaririsha kila aliyesoma kwake mwenye uelewa na dunia inaendaje anajua, utaamua wewe ukariri au uelewe
Yeah..exactly
 
Back
Top Bottom