Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
- Thread starter
- #41
Unazunguka sana, Naona kama unataka tuchoshane tu.Jibu swali kama Kama uwezi omba uzi ufutwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazunguka sana, Naona kama unataka tuchoshane tu.Jibu swali kama Kama uwezi omba uzi ufutwe
Hahahah...nmecheka knm**** mwamba alikuwa anaitwa ally abdalah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule ndo legend yani vitini vyake simple sanaa ukisoma unaenjoy sema sasa maliza kusoma alafu ukasolve maswali walahi utajua hujuiiii..
Mgote aninikumbusha mchiki down.Mgotee ana balaaa anasolve matangoo tuu...[emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ally abdalah ni shida,. mgote maswali magumu na kihombo ni next level kwa physics**** mwamba alikuwa anaitwa ally abdalah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule ndo legend yani vitini vyake simple sanaa ukisoma unaenjoy sema sasa maliza kusoma alafu ukasolve maswali walahi utajua hujuiiii..
Sasa phylosophy ya mgote ni kusolve na kukariri solution...kuelewa utaelewa ukishafauluHuwezi kuelewa kama unakomaa ku solve past papers bila kwanza kusoma vitabu uelewe content.....na hapo ndo vijana wengi mnalemaa.
hakuna utopolo wowote unaye mfikia kiyombo, kwa mgote nimesoma, na muddy , ingawa afadhali muddy yule ally abdalah yupo kibiashara zaid .nilikuwa nasoma kwa kiyombo nasolve kwa mgote kwenye vitabu vyake, hadi leo ninavyo siwezi mbeza nimzuri kwenyew uandishi kuliko wengine, kwa enzi hizo miaka ya 2012Aah, ulishawahi hata kunusa kwa hao wawili mudy na mgote?
Hahaha,na sisi tuliosoma arts?Hapa wanaongea waliofanikiwa kusoma Tuition Dar.
Sie wa makambako tutulie mkuu[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo na wewe ni mkaririji?Sawa, but ninachojua vitini vya mgote vimenisaidia Mimi kuwepo hapa nilipo
Kuku wamefeli wap mkuu ??Walimu wangepikwa wakaacha kucopy maswali kwenye Vitabu NECTA ,waweze kupika maswali ambayo hayapo kwenye rejea za Vitabu ndo utaona maajabu ya hapa bongo ,vijana watafeli kama kuku.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mzee mbona mimi mwenyewe wa Dar!Hapa wanaongea waliofanikiwa kusoma Tuition Dar.
Sie wa makambako tutulie mkuu😂😂
Inabidi tujadili vitabu vya Nyambari Nyangwine na Zisti Kamili [emoji2][emoji2]Hahaha,na sisi tuliosoma arts?
Aliskika Sana miaka ya 2008 hivi kwenye vitin vya advanced PhysicsMzee mbona mimi mwenyewe wa Dar!
Mudy nimeshawahi kumsikia ila mwengine huyo ndiyo kwanza nimebahatika kumsikia kwenye huu Uzi.
Necta yetu tulikutana na swali moja lipo kwenye kitini chake la Projectile motion ila nililikimbia maana sio mchezooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mgote sio wa kusoma mara 100 usome chandy...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ally abdalah ni shida,. mgote maswali magumu na kihombo ni next level kwa physics
R.I.P Mwl.Wibonele
Tanzanian Number One Physics Instructor ever happened.
Huyu mwamba hata Baraza la Mitihani walikuwa wanamtumia kwenye kutunga mitihani ya Taifa na kutoa solution zake.
Alikuwa akikufundisha physics masomo yote mengine duniani utayaona ni takataka tu.
Mambo ya mchikichini hayo pindi la hesabu 300 kwa kipindi! Aisee way backNilikuwa muumini wa muddy physics, pamoja na kuwa jamaa hakuwa na exercise nyingi na kusolve maswali kama mgote ila jamaa alikuwa na uelewa mkubwa sana na physics...Mgote yeye amekariri tu na anaamini katika ule msuli tembo.
Kinachombeba mgote ni aina ya sylabus ya bongo inataka watu waliokariri maswali na sio wenye uelewa.
So utaishia kukariri na kufaulu mambo usiyoyaelewa na huwezi kuyaapply popote, ndio hawa wanaajiriwa mainjinia na GPA kubwa ila vilaza.
Muddy yeye alikuwa anakupa inspiration ya kuelewa madude..kiukweli sylabus ya bongo wanatakiwa waitwist iendane hivi ili kutengeneza wanafunzi wenye uelewa ambao wanaweza kuapply waliyosoma na kuikwamua jamii.