Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Alipata 100% Physics ya Advance 2003...NECTA wakaogopa wangeonekana wajinga wakasema amepata 98Physics mwamba alikuwa Elias kihombo
Anaelewa madude ya physics nje ndani.. na anameza nje ndanii..
Kwenye kuelewa anashinda na kwenye kumeza anashinda
Nina uhakika Elias pepa ya Advance physics ya popote duniani anapata A
Kingine utafikiri topic ya Organic Chemistry ametunga yeye na unajua ilivyo ngumu