Mgunda alikuwa anasaidiwa na utelezi wa Pablo na Zoran, sasa umekwisha

Mgunda alikuwa anasaidiwa na utelezi wa Pablo na Zoran, sasa umekwisha

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Watu hawataamini kuhusu uwezo wa Mgunda kuifundisha Simba. Simba haiwezi kufundishwa na mgunda na Matola bhana.

Ushindi mfululizo wa Mgunda tuliokuwa tunauona ulitokana na saikolojia ya wachezaji mbele ya kocha mpya tu. Kila mchezaji alikuwa anacheza kwa kiwango kikubwa kuliko afya, kipato na mafundisho yao ili kutafuta namba kwa kocha mpya (mgunda).

Baada ya wachezaji wa Simba kuanza kupokea mafundisho halisi ya mgunda na matola na kupata namba za kudumu watarudi kuliko mashabiki wasikokutaka (kupoteza mechi).

Unajua kwanini? makocha wa kitanzania/waafrika wanafeli kwenye saikolojia ya wachezaji na mbinu za kufundishia, na hii ni kutokana na aina ya malezi na mafundisho yetu.

Mchezaji akikosana na kocha kama Kibadeni, Mkwasa, Mgunda, Minziro, Mwambusi na wengine wa aina hii kutatokea bifu la kufa mtu kati ya kocha na mchezaji, kocha na benchi la ufundi, nk.

Mgunda hana mafunzo ya ukocha ya hali ya juu bali anatumia kipaji, uzoefu na uchezaji mpira wake tu baasi. Kufungwa na Azam huu utakuwa ndio mwanzo mbaya kwa Simba na Mgunga mwenyewe.

Soka la Tanzania lina vituko sana, yani hapo yote haya ni vile tu Simba imefungwa na Azam au kuna jambo lingine?
Kaka nauli yake imeishia hapo. Kocha mahiri utaona namna anavyochagua wachezaji wa kuanza, substitutions, na rotation zake. Kocha "kihiyo" hana super-sub.
 
WACHAMBUZI UCHWARA!!!

"mashabiki wa Simba ni mbumbumbu" by Aden Rage.

SIMBA NA YANGA HAZITAKIWI KUFUNGWA WALA KUTOKA DROO.
Yanga ina mechi 44 sasa haijafungwa kwenye ligi, unajuwa ni kwanini?
 
Mfano angeshinda jana ungeingea nini mkuu?
mkuu alitakiwa kushinda lakini hakushinda, na utaona ataandamwa na sare nyingi na vipigo vingine kadhaa, kwasababu benchi la ufundi halina uwezo mkubwa wa kutuliza (communication skills) wachezaji ambao wamefanya makosa kwenye mechi, waliopoteza mechi, waliofanya makosa au wale ambao hawapati namba kwenye kikosi.
 
WACHAMBUZI UCHWARA!!!

"mashabiki wa Simba ni mbumbumbu" by Aden Rage.

SIMBA NA YANGA HAZITAKIWI KUFUNGWA WALA KUTOKA DROO.
Wachambuzi wetu uchwara walifadhaika sana Simba kupoteza mechi. Wachambuzi uchwara walikuwa wanataka Yanga wamfukuze Nabi. Unajuwa kwanini?
 
Soka la Tanzania lina vituko sana, yani hapo yote haya ni vile tu Simba imefungwa na Azam au kuna jambo lingine?
Na maumivu yanakuwa mara mbili kutokana na wapinzani wao wakubwa wameshinda. Kama angefungwa juzi haya maumivu yasingekuwa makubwa kwa kiwango hiki.
Ni sawa Makolo afungwe na Uto halafu mfungaji awe MAYELE au KII maumivu yanakuwa double.
 
Lilikuwa ni suala la muda tu, Mgunda chupuchupu aishushe Coastal mara mbili
 
Na maumivu yanakuwa mara mbili kutokana na wapinzani wao wakubwa wameshinda. Kama angefungwa juzi haya maumivu yasingekuwa makubwa kwa kiwango hiki.
Ni sawa Makolo afungwe na Uto halafu mfungaji awe MAYELE au KII maumivu yanakuwa double.
Vichambuzi vinaitabiria Yanga kufungwa na Geita gold
 
Mgunda sio kocha bali ni kubwa la genge la wahamasishaji.

Simba tukija kushtuka ni too late..

Fukuza mgunda
Karia ndiye kaipa Simba zawadi ya Mgunda, Lakini ni swala la muda TU atawaduwaza. Matokeo aliyokuwa anayapata zilikuwa jitihada binafsi za wachezaji kutafuta namba kwa kocha mpya.
 
Back
Top Bottom