kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Wachezaji muhimu ni wachezaji wepi? Unatofautiana sana na kocha wako Mgunda, maana yeye anasisitiza kuwa wachezaji wote ni wachezaji wa Simba, wamesajiliwa na Simba kucheza. Hata Yanga dhidi ya KMC iliwakosa wachezaji wake ' muhimu' lakini ilipata matokeo.Acha kuwa shabiki maandazi mtoa mada, kikosi hakikuwa na wachezaji muhim ambao huwa wako first 11 halafu unasema sijui communication skills.
Nyie ndo wale wanaohisi timu hizi za kariakoo hazitakiwi kufungwa. To me mgunda ni kocha mzuri sana and he is there to stay.