Mgunda alikuwa anasaidiwa na utelezi wa Pablo na Zoran, sasa umekwisha

Wachezaji muhimu ni wachezaji wepi? Unatofautiana sana na kocha wako Mgunda, maana yeye anasisitiza kuwa wachezaji wote ni wachezaji wa Simba, wamesajiliwa na Simba kucheza. Hata Yanga dhidi ya KMC iliwakosa wachezaji wake ' muhimu' lakini ilipata matokeo.
 
Kifurushi Cha Mgunda kimekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…