Mgunda aondoke Simba

Alivyokuwa coast kuna mechi tena mlibebwa hadi dk ya 112 ndio mkachomoa tatu kwa tatu,hamna,akili ya kumfunga nyie utopolo,tena hapo Simba ndio atazidi kjwa kocha mtamu na ataongeza sana cv yake
 
Simba alimfunga st. George 2-0
St. George alimfunga Al hilal 2-1
Al hilal alifungana na st.George 2-2
Yanga imefungwa na Al hilal 2-1
Simba alimfunga Big bullets 2-0
Simba alimfunga Agosto 3-1
Kwa mujibu wa takwimu hizo Simba kashinda ushindi uleule wa saint. George ( kwa mechi moja).
Kwahiyo, Simba angecheza na Al hilal angepita vizuri kabisa.( Kwasababu, takwimu hizo zinambeba).
 
Kuna mda camera zilikuwa zinamuonyesha kocha nabi kajiinamia hataki hata kuangalia kinachoendelea uwanjani nikasema ngoma ishakuwa nzito nabi anajua haiwezi simba uwanjani kwa kucheza mpira ila mambo ya nje ya uwanja tu ndo yanasababisha utopolo wanatamba na nabi analijua hilo leo mara kadhaa amekuwa akivuka eneo lake katika benchi ilikuwa kashachanganyikiwa ila mpira wa bongo una mambo mengi mpaka sasa nabi haamini kilichotokea.
 
BAADA YA YANGA KUPATA DRAW DHIDI YA SIMBA HATIMAYE WAMEINGIA MAKUNDI YA WHATSAPP YA CUF YA LIPUMBA [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Kivuli chako kina urefu gani
 
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga
 
Naheshimu maoni yako. Muda wako na bando lako, Itoshe tu kusema wewe Sio Mwana Simba
 
Aondoke aje uishi naye kwenu?
 
Ndo mana'ke nyuma maelewano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…