Mgunda aondoke Simba

Mgunda aondoke Simba

Alivyokuwa coast kuna mechi tena mlibebwa hadi dk ya 112 ndio mkachomoa tatu kwa tatu,hamna,akili ya kumfunga nyie utopolo,tena hapo Simba ndio atazidi kjwa kocha mtamu na ataongeza sana cv yake
 
Kwa mwenendo huu wa club ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje, Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, Wachezaji wazembe, Hawajitumi, Tunategemea nini? Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k a Prof Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga de Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na club mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!

Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.

Siku zote Simba kuingia club bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu.Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Simba alimfunga st. George 2-0
St. George alimfunga Al hilal 2-1
Al hilal alifungana na st.George 2-2
Yanga imefungwa na Al hilal 2-1
Simba alimfunga Big bullets 2-0
Simba alimfunga Agosto 3-1
Kwa mujibu wa takwimu hizo Simba kashinda ushindi uleule wa saint. George ( kwa mechi moja).
Kwahiyo, Simba angecheza na Al hilal angepita vizuri kabisa.( Kwasababu, takwimu hizo zinambeba).
 
Kuna mda camera zilikuwa zinamuonyesha kocha nabi kajiinamia hataki hata kuangalia kinachoendelea uwanjani nikasema ngoma ishakuwa nzito nabi anajua haiwezi simba uwanjani kwa kucheza mpira ila mambo ya nje ya uwanja tu ndo yanasababisha utopolo wanatamba na nabi analijua hilo leo mara kadhaa amekuwa akivuka eneo lake katika benchi ilikuwa kashachanganyikiwa ila mpira wa bongo una mambo mengi mpaka sasa nabi haamini kilichotokea.
 
BAADA YA YANGA KUPATA DRAW DHIDI YA SIMBA HATIMAYE WAMEINGIA MAKUNDI YA WHATSAPP YA CUF YA LIPUMBA [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Kwa mwenendo huu wa club ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje, Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, Wachezaji wazembe, Hawajitumi, Tunategemea nini? Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k a Prof Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga de Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na club mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!

Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.

Siku zote Simba kuingia club bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu.Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Kivuli chako kina urefu gani
 
Kwa mwenendo huu wa klabu ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje. Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, wachezaji wazembe, hawajitumi, tunategemea nini?

Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k.a Prof. Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga De Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na klabu mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al Hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!

Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu, ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.

Siku zote Simba kuingia Klabu Bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu. Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga
 
Naheshimu maoni yako. Muda wako na bando lako, Itoshe tu kusema wewe Sio Mwana Simba
 
Kwa mwenendo huu wa klabu ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje. Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, wachezaji wazembe, hawajitumi, tunategemea nini?

Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k.a Prof. Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga De Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na klabu mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al Hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!

Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu, ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.

Siku zote Simba kuingia Klabu Bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu. Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Aondoke aje uishi naye kwenu?
 
Ndo mana'ke nyuma maelewano
 
Back
Top Bottom