Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba alimfunga st. George 2-0Kwa mwenendo huu wa club ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje, Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, Wachezaji wazembe, Hawajitumi, Tunategemea nini? Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k a Prof Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga de Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na club mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!
Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.
Siku zote Simba kuingia club bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu.Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Tulia uto wewe
Mnamkana mbumbumbu mwenzenu!Utopolo bwana,wa kuondoka labda hicho kibabu chenu
kama vile naona povuSiku zote Simba kuingia club bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu.Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Kivuli chako kina urefu ganiKwa mwenendo huu wa club ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje, Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, Wachezaji wazembe, Hawajitumi, Tunategemea nini? Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k a Prof Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga de Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na club mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!
Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.
Siku zote Simba kuingia club bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu.Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko YangaKwa mwenendo huu wa klabu ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje. Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, wachezaji wazembe, hawajitumi, tunategemea nini?
Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k.a Prof. Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga De Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na klabu mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al Hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!
Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu, ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.
Siku zote Simba kuingia Klabu Bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu. Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Aondoke aje uishi naye kwenu?Kwa mwenendo huu wa klabu ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje. Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, wachezaji wazembe, hawajitumi, tunategemea nini?
Kwanini asipatikane kocha makini kama Nabi a.k.a Prof. Nabi, Kocha makini anayejua anachokifanya. Simba hata kuifunga De Agosto ni vile tu imebahatika kupangiwa na klabu mbovu mbovu lakini kama ingepangiwa na Al Hilal nina uhakika aibu ingekuwa kubwa mno!
Tunashukuru angalau wenzetu wamepambana kiume kuzuia aibu, ambayo kama ingekuwa Simba ingekufa hata 7-0.
Siku zote Simba kuingia Klabu Bingwa ni kutokana na bahati tu kupangiwa na vilabu dhaifu. Uongozi wa Simba uchukue hatua mapema. Mgunda aondoke!
Siyo wajinga,ni wapumbavu sanaYanga wajinga sana
Huyo ana mwiko nyumaMnamkana mbumbumbu mwenzenu!
Ndo mana'ke nyuma maelewanoKwa mwenendo huu wa klabu ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje. Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, wachezaji wazembe, hawajitumi, tunategemea nini?