Mgunda apewe ukocha wa kudumu pale Taifa Stars

Kwa uwezo gani hasa ulioonyeshwa? Yaani mchezo mzima hakuna Mpira uliopigwa GOLINI halafu eti apewe timu? Ebu tuwe "serious" kidogo yaani mechi unayotakiwa kushinda usonge mbele unacheza OVYO hivyo halafu watu wanasema kwamba upewe timu moja kwa moja. Mmelogwa AMA?
Ebu angalia hapa

 
Hata mwanzoni anaanza mimi nilijua yule mwana mama asingewezana na haji manara, Haji ni mjuaji sana.
Hapo kwenye wizara hao wachumia tumbo ndio shuguli kubwa ilipo.

Na umeongea jambo kubwa sana. Bila wizara husika kuwa responsible aisee tutaendelea kufurahia CAF kupost “we miso misondo umepigaje hapo”
 
Hamasa wanapewa wale mapunguani wakina mwijaku huoni kama ni mzaha juu ya mzaha
 
Hamasa wanapewa wale mapunguani wakina mwijaku huoni kama ni mzaha juu ya mzaha
Lakini mkuu,
Kwa upande mwingine hizi wizara ilipaswa apewe mtu mwenye uzoefu ambaye anafahamu michezo au alishawahi kuwa mchezaji au kocha Hawa ndio wanaelewa kwa undani .

Lakini huwa najiulizaga Etoo amekuwa mchezaji mkubwa sana duniani, Kwanini kama raisi wa mpira nchini kwake hatuoni ile transformation inayoendana na hadhi yake wakati anafahamu kwa kinagaubaga hii sekta?
Unataka kusema wizara na viongozi wa juu watakuwa wana hujumu hivyo hafanyi kazi yake kwa ufanisi?
 
Makocha Wazawa hata timu za kufundisha nje ya TANZANIA hawana uwezo wa kufundisha, kutwa wanazunguka ktk vilabu vya ndani na hawafanyi vizuri!!

Ndio maana Kocha kama Mgunda Simba wamempeleka ktk Timu ya wanawake...., hawana, uzoefu, mbinu na hata shule ya kutosha ktk ukocha, kulinganisha na kina Mwinyi Zahera, Dabo, Ndayragire, Molin yule wa KMC hata Baraza wa Dodoma fc, ukiachilia mbali Benchika na Gamondi.

Makocha Wazawa ni wa hapa hapa...Kagera Sugar, Prison, Mtibwa, Mbeya City, Lipuli, Mashujaa na kama hizo, Costi, Namungo, Singida Fg, hata Ihefu hawana muda nao.

TFF ikitaka kuharibu mazima na kuharibu Soka la tia maji tia maji la Tanzania, ithubutu kumpa Timu Mgunda na wenzie wa kutembelea upepo, ndio watujua kwa nini Simba wana Mwenyekiti jina tu, Ndg Mangungu.

Uwekezaji ktk Soka, hususani ktk Timu za Vijana, Soccer [emoji460] Academy, kutenganisha Soka na CCM (Siasa) Wachezaji kucheza nje ya TANZANIA,(Exposure na Soka la Kisasa) hata na Makocha kutokea kuomba kazi na kufundisha nje ya TANZANIA na mengine kama haya...mnaweza kupata Timu Bora ya Taifa...[emoji41][emoji41]
 
Ila Rage aliona mbali sana....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Wabongo hata mletewe kocha kutoka Argentina au Spain mtaacha kulalamika?

Huyo mgunda nawapa siku chache tu anasepa
 
Hicho kinachoturudisha nyuma

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mimi nafikiri eng hersi apewe uongozi hapo, tatizo sidhani kama ni kocha, uongozi wa TFF ni uozo mtupu.

Eng; hersi anapaswa kushika uongozi hapo ni mtu sahihi sana, tatizo la timu ya taifa inaanzia kwa viongozi.
Ila karia kajitahidi kuiongozq TFF

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka alipewa timu kidharura

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Labda nae etoo kakutana na vighagula wa hiyo sector [emoji1]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Chukua tano hizoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…