Japo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo
1. Boli litembee philosophy, hii slogan ya mgunda inaifanya timu ijiamini Kwa kukokota mpira mbele badala kupiga back pass nyingi
2 ni mzawa hivyo anawajua wachezaji wengi in deep tofauti na kuwa na hawa wageni
Bila shaka mgunda anaweza saidia taifa stars
View attachment 2884625
Sent from my TECNO KG5j using
JamiiForums mobile app
Makocha Wazawa hata timu za kufundisha nje ya TANZANIA hawana uwezo wa kufundisha, kutwa wanazunguka ktk vilabu vya ndani na hawafanyi vizuri!!
Ndio maana Kocha kama Mgunda Simba wamempeleka ktk Timu ya wanawake...., hawana, uzoefu, mbinu na hata shule ya kutosha ktk ukocha, kulinganisha na kina Mwinyi Zahera, Dabo, Ndayragire, Molin yule wa KMC hata Baraza wa Dodoma fc, ukiachilia mbali Benchika na Gamondi.
Makocha Wazawa ni wa hapa hapa...Kagera Sugar, Prison, Mtibwa, Mbeya City, Lipuli, Mashujaa na kama hizo, Costi, Namungo, Singida Fg, hata Ihefu hawana muda nao.
TFF ikitaka kuharibu mazima na kuharibu Soka la tia maji tia maji la Tanzania, ithubutu kumpa Timu Mgunda na wenzie wa kutembelea upepo, ndio watujua kwa nini Simba wana Mwenyekiti jina tu, Ndg Mangungu.
Uwekezaji ktk Soka, hususani ktk Timu za Vijana, Soccer [emoji460] Academy, kutenganisha Soka na CCM (Siasa) Wachezaji kucheza nje ya TANZANIA,(Exposure na Soka la Kisasa) hata na Makocha kutokea kuomba kazi na kufundisha nje ya TANZANIA na mengine kama haya...mnaweza kupata Timu Bora ya Taifa...[emoji41][emoji41]