Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
mgunda Aliipeleka Namungo Shirikisho Wewe Kuweza?Hiv Mgunda ana mafanikio gani kwenye hii nch hadi achukue team ya taifa, au ndio kumjaribu?
Mpeni either simba au Yanga tuone kama atabeba ubingwa japo misimu miwili consecutive kisha tumpe team ya taifa,
Stars bora tumpe Nabi au Gamond
Alikuwepo hana jipya. Tujipange kama taifa, simlaumu lkn hana jipya
Wale wajomba zangu nawajua wako vzr ila siku ile Mgosi Mgunda aliwajuilia kuwabana
Lini hiomgunda Aliipeleka Namungo Shirikisho Wewe Kuweza?
AFCON ijayo itakua ngumu zaid na pengine ya moto mbaya sana....Japo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo
1. Boli litembee philosophy, hii slogan ya mgunda inaifanya timu ijiamini Kwa kukokota mpira mbele badala kupiga back pass nyingi
2 ni mzawa hivyo anawajua wachezaji wengi in deep tofauti na kuwa na hawa wageni
Bila shaka mgunda anaweza saidia taifa stars
View attachment 2884625
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapanaaaaass....x 100 ...team ipewe kocha wa kigeni kuendeleza vipajiii petiodJapo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo
1. Boli litembee philosophy, hii slogan ya mgunda inaifanya timu ijiamini Kwa kukokota mpira mbele badala kupiga back pass nyingi
2 ni mzawa hivyo anawajua wachezaji wengi in deep tofauti na kuwa na hawa wageni
Bila shaka mgunda anaweza saidia taifa stars
View attachment 2884625
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mgunda alishawahi kupewa hiyo timu na ikamshinda akiwa pamoja na Matola!Japo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo
1. Boli litembee philosophy, hii slogan ya mgunda inaifanya timu ijiamini Kwa kukokota mpira mbele badala kupiga back pass nyingi
2 ni mzawa hivyo anawajua wachezaji wengi in deep tofauti na kuwa na hawa wageni
Bila shaka mgunda anaweza saidia taifa stars
View attachment 2884625
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Vighagula [emoji23]Mgunda ni kocha mzuri lakini ni ngumu kuwa kocha Mkuu wa taifa stars,kwanza usumbufu wa asilimia kumi kutoka kwa mafioso mbalimbali utamvuruga,na asipotii maagizo wanampiga chini
[emoji1]Miaka yote ambayo tulikuwa tunawatumia hao wazawa hiyo AFCON tulibaki kuisoma tu kwenye magazeti, leo mwarabu katumia mbinu zake katuvusha tunamuona hatufai. Na leo tunapata jeuri ya kuwatetea hao wazawa kisa AFCON ya 2027 tunaenda kuhost sisi. Mimi nawazoom tu.
Wengine hamna lolote mnatetea wachezaji na makocha kisa ni wajomba zenu.
Duuuuh kumbeAFCON ijayo itakua ngumu zaid na pengine ya moto mbaya sana....
maandalizi ya wababe waloshughulishwa na kufungishwa virago na mataifa ya kawaida tu maandalizi yao yatakua ni mara100 zaid ya yamwaka huu...
mgunda pekee hatoshi na hawezi fua dafu ng"ooo, tuanweza tusipate hata point moja...
nadhani awe sehemu tu ya bench la ufundi kama kawaida na si vinginevyo....
Nyota[emoji23][emoji23]Kwann tusimsifu Moroko aliekuwa kaimu kocha mkuu tunamsifu msaidizi?
Mimi Yanga lakini Mgosi Mgunda namkubali. Apewe timu .Kweli kabisa, na kama mshahara apewe kama hao wa nje,itampa hamasa,anaweza ame prove!
Hivi Mgunda amewahi kukochi timu gani ikapata mafanikio?Japo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo