Mgunda apewe ukocha wa kudumu pale Taifa Stars

Hiv Mgunda ana mafanikio gani kwenye hii nch hadi achukue team ya taifa, au ndio kumjaribu?
Mpeni either simba au Yanga tuone kama atabeba ubingwa japo misimu miwili consecutive kisha tumpe team ya taifa,

Stars bora tumpe Nabi au Gamond
mgunda Aliipeleka Namungo Shirikisho Wewe Kuweza?
 
Mgunda ni kocha mzuri lakini ni ngumu kuwa kocha Mkuu wa taifa stars,kwanza usumbufu wa asilimia kumi kutoka kwa mafioso mbalimbali utamvuruga,na asipotii maagizo wanampiga chini
 
Miaka yote ambayo tulikuwa tunawatumia hao wazawa hiyo AFCON tulibaki kuisoma tu kwenye magazeti, leo mwarabu katumia mbinu zake katuvusha tunamuona hatufai. Na leo tunapata jeuri ya kuwatetea hao wazawa kisa AFCON ya 2027 tunaenda kuhost sisi. Mimi nawazoom tu.

Wengine hamna lolote mnatetea wachezaji na makocha kisa ni wajomba zenu.
 
Japo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo

1. Boli litembee philosophy, hii slogan ya mgunda inaifanya timu ijiamini Kwa kukokota mpira mbele badala kupiga back pass nyingi

2 ni mzawa hivyo anawajua wachezaji wengi in deep tofauti na kuwa na hawa wageni

Bila shaka mgunda anaweza saidia taifa stars

View attachment 2884625

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
AFCON ijayo itakua ngumu zaid na pengine ya moto mbaya sana....

maandalizi ya wababe waloshughulishwa na kufungishwa virago na mataifa ya kawaida tu maandalizi yao yatakua ni mara100 zaid ya yamwaka huu...

mgunda pekee hatoshi na hawezi fua dafu ng"ooo, tuanweza tusipate hata point moja...

nadhani awe sehemu tu ya bench la ufundi kama kawaida na si vinginevyo....
 
Hapanaaaaass....x 100 ...team ipewe kocha wa kigeni kuendeleza vipajiii petiod
 
Japo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo

1. Boli litembee philosophy, hii slogan ya mgunda inaifanya timu ijiamini Kwa kukokota mpira mbele badala kupiga back pass nyingi

2 ni mzawa hivyo anawajua wachezaji wengi in deep tofauti na kuwa na hawa wageni

Bila shaka mgunda anaweza saidia taifa stars

View attachment 2884625

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mgunda alishawahi kupewa hiyo timu na ikamshinda akiwa pamoja na Matola!
 
Miaka yote ambayo tulikuwa tunawatumia hao wazawa hiyo AFCON tulibaki kuisoma tu kwenye magazeti, leo mwarabu katumia mbinu zake katuvusha tunamuona hatufai. Na leo tunapata jeuri ya kuwatetea hao wazawa kisa AFCON ya 2027 tunaenda kuhost sisi. Mimi nawazoom tu.

Wengine hamna lolote mnatetea wachezaji na makocha kisa ni wajomba zenu.
[emoji1]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
AFCON ijayo itakua ngumu zaid na pengine ya moto mbaya sana....

maandalizi ya wababe waloshughulishwa na kufungishwa virago na mataifa ya kawaida tu maandalizi yao yatakua ni mara100 zaid ya yamwaka huu...

mgunda pekee hatoshi na hawezi fua dafu ng"ooo, tuanweza tusipate hata point moja...

nadhani awe sehemu tu ya bench la ufundi kama kawaida na si vinginevyo....
Duuuuh kumbe

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ninachoamini ni kwamba, .kama MGUNDA angekuwa full COACH tangu awali , mwaka. Huu STARS tuketoboa robo fainali kama si nusu...
 
Japo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo

1. Boli litembee philosophy, hii slogan ya mgunda inaifanya timu ijiamini Kwa kukokota mpira mbele badala kupiga back pass nyingi

2 ni mzawa hivyo anawajua wachezaji wengi in deep tofauti na kuwa na hawa wageni

Bila shaka mgunda anaweza saidia taifa stars

View attachment 2884625

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hivi Mgunda amewahi kukochi timu gani ikapata mafanikio?
 
Back
Top Bottom