Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hivi Mpili wetu yuko wapi?š¤£Naunga mkono hoja,tatzo pale Msimbaz wazee wana kinyongo hakuna baraka za wazee pale...ukitka uishi vizuri nchi hii heshimu wazee wa Dar mambo yako yatanyooka sasa Barbra yy anawaona hawana elimu tatzo linaanzia hapo