Mgunda atakaa jukwaani, kutoiongoza Simba Malawi

Naunga mkono hoja,tatzo pale Msimbaz wazee wana kinyongo hakuna baraka za wazee pale...ukitka uishi vizuri nchi hii heshimu wazee wa Dar mambo yako yatanyooka sasa Barbra yy anawaona hawana elimu tatzo linaanzia hapo
Hivi Mpili wetu yuko wapi?🤣
 
Nao simba wajinga barbara ameonyesha udhaifu mkubwa sana. Kama ceo unatakiwa ufanya background check kuhakikisha huyo mtu anakidhi vigezo. Sasa wanaonekana club ya kienyeji kweli kweli.
Na nitashangaa kama nkoma atakubaliwa ukizingatia hawa wawili walikuwa darasa hilo hilo na vyeti vyao mpaka leo havijatoka
Kwani simba queen imewezaje kuvuka? Huyu ana leseni
 
Mambo ya kiumwakinyo ma ki kizz daniel kusahau begi eya poti..sasa na huyu mgunda aliwndaje bila uongoz kujiridhisha kuwa ana hyo lessen
 
Naunga mkono hoja,tatzo pale Msimbaz wazee wana kinyongo hakuna baraka za wazee pale...ukitka uishi vizuri nchi hii heshimu wazee wa Dar mambo yako yatanyooka sasa Barbra yy anawaona hawana elimu tatzo linaanzia hapo
Wazee hawataki kuongozwa na Mwanamke
 
Nao simba wajinga barbara ameonyesha udhaifu mkubwa sana. Kama ceo unatakiwa ufanya background check kuhakikisha huyo mtu anakidhi vigezo. Sasa wanaonekana club ya kienyeji kweli kweli.
Na nitashangaa kama nkoma atakubaliwa ukizingatia hawa wawili walikuwa darasa hilo hilo na vyeti vyao mpaka leo havijatoka
Nkoma anacho na ndio Maana Juzi alikuwa benchi la simbakwini Kwenye Mashindano ya Caf ya Juzi
 
Sasa kama huyo Mgunda hana cheti na huyu seba anakuwaje na cheti wakati hiyo leseni A walikuwa darasa moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesahau kuwa unaweza maliza shule halafu ukajifanya umesahau kuchukua cheti.Kusoma hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kufaulu.
 
Back
Top Bottom