Mgunda atalazimika kuwatumia Nelson Okwa na Kapama

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Leo 27.10.2022 Simba watakuwa uwanjani wakiwakabili Azam FC. Timu zote zinakutana zikiwa hazina makocha wakuu bali zikiwa na makocha wa muda.

Simba leo watakosa huduma ya Sadio Kanoute (Putin) na Mzamiru Yasin (kiungo punda) kwenye mafasi ya kiungo. Kanoute ni mgonjwa wakati Mzamiru akiwa na kadi 3 za njano hivyo kanuni kumtaka akose mchezo mmoja wa Ligi Kuu.

Juma Mgunda atalazimika kuwatumia Nelson Okwa na Nasoro Kapama kwa pamoja au kwa wakati tofauti.
Hii inaweza kuwa nafasi adimu sana kwa wachezaji hao kuonesha uwezo wao ili waaminike kuingia kikosi cha kwanza cha Simba FC.

Lakini pia Peter Banda na Enock Hinonga wana uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya kiungo kwa ufanisi mkubwa, hivyo haitashangaza kama Kocha ataamua kumtumia mmoja wao katikati.

Okwa na Kapama wanaweza kupata nafasi moja ya kuthibitisha ubora wao leo.
 
Kwa aina ya soka la Okwa, naamini ni moja kati ya namba 8 bora zaidi aliyekuwepo ligi kuu, ila kila mwalimu na mahitaji yake, zoran alikuwa anamkataa chama, ukiwa na namba 6 ya haja, juu yupo okwa anasambaza upendo, anachezesha timu, juu yake chama anapanga na kupangua mipango ya timu.. Mpinzani atapata tabu saaana.
 
Sisi wengine hatuna mengi kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Azam, ila tuna muomba Mwenyezi Mungu Dua Ile Ile waliyo iomba wanachama,mashabiki na wapenzi wa Simba dhidi yetu Yanga wakati tunacheza na Azam.

Na Mimi kama Yanga Nawaombea Dua hiyohiyo Kwa kipimo kilekile ee Mwenyezi Mungu ikikupendeza Dua yangu ikatimie.
 
Sospeter Banyana anasubiria tu muda ufike ili awavuruge hao viungo wenu wote pale katikati! Muombee tu acheze chini ya kiwango.
 
Labda kma alikula mbususu sana maana kavuta jiko last week.
IMG_20221018_070032.jpg
 
Sisi wengine hatuna mengi kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Azam, ila tuna muomba Mwenyezi Mungu Dua Ile Ile waliyo iomba wanachama,mashabiki na wapenzi wa Simba dhidi yetu Yanga wakati tunacheza na Azam.

Na Mimi kama Yanga Nawaombea Dua hiyohiyo Kwa kipimo kilekile ee Mwenyezi Mungu ikikupendeza Dua yangu ikatimie.
Amen [emoji1666] na ikawe hivyo
 
Alikataa kuwasikiliza dhidi ya Al Hilal ndio awasikilize kwenye wivu!?
 
Sisi wengine hatuna mengi kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Azam, ila tuna muomba Mwenyezi Mungu Dua Ile Ile waliyo iomba wanachama,mashabiki na wapenzi wa Simba dhidi yetu Yanga wakati tunacheza na Azam.

Na Mimi kama Yanga Nawaombea Dua hiyohiyo Kwa kipimo kilekile ee Mwenyezi Mungu ikikupendeza Dua yangu ikatimie.
Mungu ana mambo mengi sana ya kufanya, wewe achana nae tu fanya mambo mengine
 
Natamani Simba amfunge Azam. Azam alijifanya anamkamia Yanga ngoja leo afungwe aporomoke mpaka nafasi ya 10
 
Back
Top Bottom