kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Akina Jose mauriinyoo ,alipwe chake asepe kutengeneza mazingira ya kufukuzwa sio ishu ishu mpunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Juma Mgunda ni bonge la kocha hakuitwa Guardiola Mnene kwa bahati mbaya ujueHakuna maajabu yatakayo tokea. Mechi zote mbili tukijitahidi, basi ni sare. Maana hao makocha wenyewe walioachiwa timu nao ni vilaza tu kama huyo kilaza mwenzao Amrouche.
Sasa hapo unashani fundi ni nani? Ni MgundaWeka sawa Kocha mkuu ni Hemed Morocco( 3-0) msaidizi ni Juma Mgunda
Hemedi Morocco ndio head coach na juma mgunda ni msaidizi wake.Hatimaye mwamba Juma Mgunda amekabidhiwa timu ya taifa rasmi baada ya kocha Adel Amrouche kufungiwa na CAF. Juzi nilishauri kwamba kocha Adel Amrouche hatoshi atupishe ikibidi afukuzwe huko huko Ivory Coast kuna baadhi ya mashabiki maandazi wakataka kunitoboa macho hatimaye TFF imetangaza kumsimamisha kazi na timu amekabidhiwa mzawa Juma Mgunda na msaidizi wake Hemed Morocco.
Kocha Adel Amrouche alikuwa ameshakosa mbinu za kufundisha kuweza kuisaidia timu akahamia kwenye kichaka cha majungu na tuhuma za uongo dhidi ya Morocco jambo lililozua utata na CAF kutangaza kumfungia mechi 8 leo
Naamini Mgunda atatuvusha huyu tutarajie makubwa kwenye mechi hizi mbili zilizosalia
Iwe fundishoView attachment 2876747