Mgunda atatuvusha Afcon, Sina Shaka nae

Mgunda atatuvusha Afcon, Sina Shaka nae

Akina Jose mauriinyoo ,alipwe chake asepe kutengeneza mazingira ya kufukuzwa sio ishu ishu mpunga
 
Hakuna maajabu yatakayo tokea. Mechi zote mbili tukijitahidi, basi ni sare. Maana hao makocha wenyewe walioachiwa timu nao ni vilaza tu kama huyo kilaza mwenzao Amrouche.
 
Hakuna maajabu yatakayo tokea. Mechi zote mbili tukijitahidi, basi ni sare. Maana hao makocha wenyewe walioachiwa timu nao ni vilaza tu kama huyo kilaza mwenzao Amrouche.
Mkuu Juma Mgunda ni bonge la kocha hakuitwa Guardiola Mnene kwa bahati mbaya ujue
 
Huwezi kubadilisha falsafa za mwalimu katikati ya mashindano, hapo kitachofanyka mwalimu ataendelea kutoka mifumo yake. Msaidizi wa kocha mkuu lazima aendelee na mfumo Wa kocha mkuu, kuanza kuwaelekeza wachezaji sasahv katika ya mashindano ni kujidanganya yule mwalimu alipima maji akaabgalia kile kikosi akaona hio aibu haitaki sasa ili nijitoe ngoja nitengeneze nzengwe halafu mzigo wamtupie mtu mwingine🤣🤣
 
Hatimaye mwamba Juma Mgunda amekabidhiwa timu ya taifa rasmi baada ya kocha Adel Amrouche kufungiwa na CAF. Juzi nilishauri kwamba kocha Adel Amrouche hatoshi atupishe ikibidi afukuzwe huko huko Ivory Coast kuna baadhi ya mashabiki maandazi wakataka kunitoboa macho hatimaye TFF imetangaza kumsimamisha kazi na timu amekabidhiwa mzawa Juma Mgunda na msaidizi wake Hemed Morocco.

Kocha Adel Amrouche alikuwa ameshakosa mbinu za kufundisha kuweza kuisaidia timu akahamia kwenye kichaka cha majungu na tuhuma za uongo dhidi ya Morocco jambo lililozua utata na CAF kutangaza kumfungia mechi 8 leo

Naamini Mgunda atatuvusha huyu tutarajie makubwa kwenye mechi hizi mbili zilizosalia

Iwe fundishoView attachment 2876747
Hemedi Morocco ndio head coach na juma mgunda ni msaidizi wake.
 
Nyinyi ndio mlimpigia debe Boniface awe kocha wa Taifa tukaishiwa kupigwa goli Saba, makocha wetu Kama mnataka wapewe timu makocha wazawa waende wakasome na watafute timu nje za kufundisha
 
Back
Top Bottom