KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Nyie viumbe naamini mmeamka salama japo Mihogo FC wanatupigia sana kelele. Kwa wale mnaofatilia mpira wa Simba hivi karibuni mtaona kabisa Mgunda ana uwezo mdogo sana, kiufupi anabebwa na uwezo binafsi wa baadhi ya wachezaji.
Kabla hatujapata aibu zaidi naombeni uongozi wangu/wetu umtimue mara moja. Ambao bado mnawaza kuchukua Kombe la NBC Premier League, mnajua ugumu wa kupunguza hilo pengo la alama tulizonazo sisi na hao Mihogo? Mnajua wanavyokuwa makini wakiwa wanaongoza ligi?
Tunajipa matumaini kimataifa lakini hata huko sioni nuru, hakuna kitu tutarudi nacho chini ya huyu mvaa jinzi.
Bila kupepesa macho, atimuliwe upesi sana.