denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Jana nimegundua Mgunda anabebwa na uwezo binafsi wa baadhi ya wachezaji wa Simba, wakiwemo Chama na Okrah, lakini bila hao, Mgunda hana jipya.Endeleeni kushangaza shangaa mtakuja jikuta mkoa nafasi ya 8 huyu kocha nishasemaga hana mbinu na atakapoendelea kuwepo basi Simba ijiandae kutoa draw nyingi sana.
Simba imeshafukuza kina Aussems pamoja na ubora wake bila kosa lolote, Mgunda hana immunity.