Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Wote hapa mtakimbia maana ni vitembeleo vimekomaa sababu ya kulimawachanganye zaidi tupia mgua wako original
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote hapa mtakimbia maana ni vitembeleo vimekomaa sababu ya kulimawachanganye zaidi tupia mgua wako original
Umeona eeh? Mwanamke mwongo huyu balaa[emoji23] [emoji23]Acha uongo!
Siku hizi nimeokoka mdogo wanguManyau nyau karudi kazini.
Changamkia fursaaaMwenzangu ni zali la mentali naona hadi pete anataka kunivisha....
Kwani my wii nimekudanganya nini jamani au ndio wajipendekeza kwa mke mwenzako????[emoji124] [emoji124]Umeona eeh? Mwanamke mwongo huyu balaa[emoji23] [emoji23]
Daaah hahahahaa!!Kuna sehem nimekuita kuna mama ana miaka 52 anahitaji faraja toka kwa vijana kama nyinyi angalia notification
Hivi ni fursa eeeeh!Changamkia fursaaa
Sijui kwanini kaamua kudanganya.Umeona eeh? Mwanamke mwongo huyu balaa[emoji23] [emoji23]
Yah kwa u sawa huu akipatikana mtu wa kusaidiana maishaaHivi ni fursa eeeeh!
Jukwaa la love connect nadhaniDaaah hahahahaa!!
Poa ngoja nichangamkie dili hilo.
Hayo ndio mambo
[emoji23] [emoji23] chaa umeona unishushue ili unitishe? Acha ulongo na ukiendelea kubisa ntaweka miguu mingineKwani my wii nimekudanganya nini jamani au ndio wajipendekeza kwa mke mwenzako????[emoji124] [emoji124]
Mdogo wako!!! Hivi kuwa unadhani mimi mtoto mwenzio!!!!Siku hizi nimeokoka mdogo wangu
Unamuongelea honey faith huyuhuyu?Demu ana sura mbaya ila ana boonge la takooo!
Duuuu umekutana nao wangapi ?Nilishawahi kusema,wadada wa jf huwa si wazur jaman
My wii jamani acha porojo zako shauri zako wewe endelea kusema uongo haujui kama ni dhambi?[emoji23] [emoji23] chaa umeona unishushue ili unitishe? Acha ulongo na ukiendelea kubisa ntaweka miguu mingine
Imedondokewa miguu ya lulu ila sio mimiMdogo wako!!! Hivi kuwa unadhani mimi mtoto mwenzio!!!!
Hebu acha uongo bwana, mtoto wa watu ashakudondokea.
Huyo ananijua vizuri tumekuwa nae toka tukiwa wadogoUnamuongelea honey faith huyuhuyu?
Binti huyu wa kisukuma kabisaaaa! Utakuwa umechanganya madesa.
hahaha haya mkuu nashukuru kwa kushukuru...shida ni kuwa sijui umri wako but kama ningejiridhisha na hilo ningekuwa nakusumbua kila siku pm but atleast now you knowOooooh thanks kwa kunipenda