Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Ila maisha magumu sana jamaniYah kwa u sawa huu akipatikana mtu wa kusaidiana maishaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila maisha magumu sana jamaniYah kwa u sawa huu akipatikana mtu wa kusaidiana maishaa
Sana huo ndio ukweliIla maisha magumu sana jamani
Tena yako imezidi hiyo kidogo, ni mizuri zaidi alafu imenyoooooka, sio km ya lulu yenye tege.Imedondokewa miguu ya lulu ila sio mimi
Uongo dhambi mpendwa.Huyo ananijua vizuri tumekuwa nae toka tukiwa wadogo
Wee tulia huko watu tuna hamu na pilau kijana keshaonyesha niaMy wii jamani acha porojo zako shauri zako wewe endelea kusema uongo haujui kama ni dhambi?
Haya ngoja tusubirie hilo pilauWee tulia huko watu tuna hamu na pilau kijana keshaonyesha nia
Mkuu bado unauliza umri miaka hii? We zama tu huko kwa waziri mkuu yatajiseti hukohuko..[emoji125] [emoji125] simoohahaha haya mkuu nashukuru kwa kushukuru...shida ni kuwa sijui umri wako but kama ningejiridhisha na hilo ningekuwa nakusumbua kila siku pm but atleast now you know
Jamani acha kumdanganya kijana wa watu my dia shauri zakoTena yako imezidi hiyo kidogo, ni mizuri zaidi alafu imenyoooooka, sio km ya lulu yenye tege.
Uongo dhambi mpendwa.
We umri muhimu, ila honey faith hanaga hiana yeye.Mkuu bado unauliza umri miaka hii? We zama tu huko kwa waziri mkuu yatajiseti hukohuko..[emoji125] [emoji125] simoo
Kwa kunogesha mambo sikuweziMkuu bado unauliza umri miaka hii? We zama tu huko kwa waziri mkuu yatajiseti hukohuko..[emoji125] [emoji125] simoo
Uliwahi kumuona binti wa kisukuma anaetembelea kuni za nyongeza?Jamani acha kumdanganya kijana wa watu my dia shauri zako
Ooooh ninakaribia kuzeeka mkuu mie mkubwa sanahahaha haya mkuu nashukuru kwa kushukuru...shida ni kuwa sijui umri wako but kama ningejiridhisha na hilo ningekuwa nakusumbua kila siku pm but atleast now you know
Ndio mimiUliwahi kumuona binti wa kisukuma anaetembelea kuni za nyongeza?
Sibagui wala kuchagua atakae nizika simjui[emoji124]We umri muhimu, ila honey faith hanaga hiana yeye.
Thubutuuuu!!! We sema tu umeamua kumbania mtoto wa watuNdio mimi
Mwenye dada hakosi shemejiOyaaa dada yangu huyo.
Mheshimu kabla sijakuvuruga.
Babu umetisha na hizo hash tags.Hili jukwaa linaitwaje?
At least nina uhakika honeyfaith ni mdada.
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBaCkBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDenaAmsi[/HASHTAG]
umeamua kunikatisha tamaa kabisaOoooh ninakaribia kuzeeka mkuu mie mkubwa sana