Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Kila amtamae mwana
ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!
Kila amtazamae mwanamke kwa jicho la kutamani amekwisha kuzini naye! Usimtamani mke wa jirani yako! Ndo maana Miafrika hatuendelei tunawaza wake za watu. Alichonacho huyu mama na mke wako anacho pia!
Acha mama wa watu achape kazi wenzio tumeshaanza viwanda! Nina charahani tatu na baiskeli sita.
 
Ummy mwalimu ndo habari ya mjini,mtoto wakitanga yule yuko shkopa,alafu anamnyumbuliko wenye uwiano mzuri.sjui keshaolewa?,au ndo masuria wa mkulu?
 


Unaweza kukuta huyu Jamaa aliyeandika huu utumbo labda hata ni Waziri Muhongo, Zito kabwe au raisi Kikwete mwenyewe!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sure maana hapa ni ID feki
 
Mama yetu huyu tuwe wakweli kaumbika kiukweli! Tumpe sifa zake, sura nzuri rangi pia iko angavu! Naamini kwenye Cabinet nzima yeye ni CUTE namba moja.
Weee, hajamshinda Ummy yule wa Afya
 
Mbona nimemtazama kwa jicho la kumtaman sijafika kileleni?
 
Mange Yupo HuMu HuMu Kama Huamini Muanzishie Uzi Uone Mara Nyingi Anazama Kuqoute Threads Nzito Nzito Afu Anashare Kwa Page Yake
 
Hili toto nalipenda halijajua tu! Japo linanikwaza kwenye utekelezaji wa majukumu yake lakini linaninyima usingizi aisee. Laiti lingejua lingeshaniteua kuwa Serengeti boy wake
lipi hilo kati ya hawa kuna mmoja anaongea hapa km redio mbovu full mswahili
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…