Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuakwani huyu ni Naibu waziri wa Katiba na sheria au Waziri Utumishi na Utawala
Kila amtazamae mwanamke kwa jicho la kutamani amekwisha kuzini naye! Usimtamani mke wa jirani yako! Ndo maana Miafrika hatuendelei tunawaza wake za watu. Alichonacho huyu mama na mke wako anacho pia!ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!
hahahahaha
Unaweza kukuta huyu Jamaa aliyeandika huu utumbo labda hata ni Waziri Muhongo, Zito kabwe au raisi Kikwete mwenyewe!
hawa wamama wote waacheni shauri lenu huyu mmoja naona mange anasema ana ujauzito🙄🙄🙄🙄🙄Ummy mwalimu ndo habari ya mjini,mtoto wakitanga yule yuko shkopa,alafu anamnyumbuliko wenye uwiano mzuri.sjui keshaolewa?,au ndo masuria wa mkulu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaweza kukuta huyu Jamaa aliyeandika huu utumbo labda hata ni Waziri Muhongo, Zito kabwe au raisi Kikwete mwenyewe!
Weee, hajamshinda Ummy yule wa AfyaMama yetu huyu tuwe wakweli kaumbika kiukweli! Tumpe sifa zake, sura nzuri rangi pia iko angavu! Naamini kwenye Cabinet nzima yeye ni CUTE namba moja.
Weee, hajamshinda Ummy yule wa Afya
Mbona nimemtazama kwa jicho la kumtaman sijafika kileleni?Kila amtamae mwana
Kila amtazamae mwanamke kwa jicho la kutamani amekwisha kuzini naye! Usimtamani mke wa jirani yako! Ndo maana Miafrika hatuendelei tunawaza wake za watu. Alichonacho huyu mama na mke wako anacho pia!
Acha mama wa watu achape kazi wenzio tumeshaanza viwanda! Nina charahani tatu na baiskeli sita.
Tumeshamjua aliyeandika huu uzi
Unaweza kukuta huyu Jamaa aliyeandika huu utumbo labda hata ni Waziri Muhongo, Zito kabwe au raisi Kikwete mwenyewe!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni mchoyo huyo acha.! kama huamini mjaribu
Heheh,potelea mbali,wacha nzi afie kwenye kidonda.hawa wamama wote waacheni shauri lenu huyu mmoja naona mange anasema ana ujauzito🙄🙄🙄🙄🙄
Hili toto nalipenda halijajua tu! Japo linanikwaza kwenye utekelezaji wa majukumu yake lakini linaninyima usingizi aisee. Laiti lingejua lingeshaniteua kuwa Serengeti boy wakeangel ni mrembo zaidi![]()
hahahahaa haya sirkali haitibii watu nje shauri lakoHeheh,potelea mbali,wacha nzi afie kwenye kidonda.
lipi hilo kati ya hawa kuna mmoja anaongea hapa km redio mbovu full mswahiliHili toto nalipenda halijajua tu! Japo linanikwaza kwenye utekelezaji wa majukumu yake lakini linaninyima usingizi aisee. Laiti lingejua lingeshaniteua kuwa Serengeti boy wake