Kwi,kwi,kwi,,,,,,,,,,,au hata shehe au askofu flani hivi!
Hapana chezeaaa rangi ya mtume originalee weee lazima ukaee
"Eti" Dinazarde kuna watu wanasema ni wa kawaida!
Pamoja na hivyo Honey Faith uzuri wa mtu kama ni mzuri unabaki pale paleSi unajua uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu?
Pamoja na hivyo Honey Faith uzuri wa mtu kama ni mzuri unabaki pale pale
Swala la macho silipi nafasi sana,sijuwi ni macho ya aina gani yatashindwa kuona angela ni mrembo labda yenye trakoma.