Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Mbegu ya ukweli hiyoo.. Ukioa mwanae lazima ufyatue midorii ya ukweli sanaaaa

Na mbegu kama hizi ukitaka itotoe kiota cha maana ikutane na black zimix kinatoka kimalaika cha ukweli!
 
uzuri upo ndani kwa njee mnajoongopea
 
Hapana chezeaaa rangi ya mtume originalee weee lazima ukaee
 
Angela.jpg
 
Kuna kitu kuhusu huyu mheshimiwa kinachomfanya awe na mvuto na personality (si umbo lakini maana naona shape hana)...nadhani ana sura ya upole na anaonekana si domo kaya...hasa ukimlinganisha na mawaziri wengine wengi wanawake tz.
 
Si unajua uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu?
Pamoja na hivyo Honey Faith uzuri wa mtu kama ni mzuri unabaki pale pale
Swala la macho silipi nafasi sana,sijuwi ni macho ya aina gani yatashindwa kuona angela ni mrembo labda yenye trakoma.
 
Last edited by a moderator:
Kweli kila mtu ana ugonjwa wake, hapa mimi sioni kitu jamani, hamna! Labda kwa wale wagonjwa wa bodi, na wale jamaa zetu wakiona mwanamke mweupe tu ni mzuri tayari!
BYC 14.jpg
 
Pamoja na hivyo Honey Faith uzuri wa mtu kama ni mzuri unabaki pale pale
Swala la macho silipi nafasi sana,sijuwi ni macho ya aina gani yatashindwa kuona angela ni mrembo labda yenye trakoma.

Yani macho yako ndo yanapelekea kumuona huyu mtu mzuri at the same time mwingine anavyomuona anamuona wakawaida
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom