Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

mmmh huyu waziri Kairuki ana kidomodomo yan kwa ufupi hajatulia..Pia ni mchpkj wa kutupwa...Ila kwa ngozi nzuri kajaaliwa....Pale ukienda ukipiga goli misuli ya kuunga p..umb..u na mapaja itavuta kwa utamu uliopitiliza then utaishia kuumwa...Pale wanapigapiga vigogo kimtindo hata uwaziri kapewa kwa chapuo hana lolote kichwani...!
 

Mkuu sio ka chuki kweli?
 
hizi hapana, weka zile zenye neema za alla...

unamaanisha allah au? kama ni allah, kila mtu amejaaliwa neema chungu zima mfano, pumzi, kula, kujisaidia, afya, kutembea, kuongea, muonekano mzuri na nyingine nyingi ambazo zinaweza kutofautiana baina ya mtu mmoja na mwingine kwani mungu ndiye anayepanga kila kitu kwa hekima zake yeye mwenyewe.
 
Ok, nashukuru kwa kujuzwa hilo
Ndo uzuri wa JF. Kuna mdau kauliza swali fulani je Angel ni wa mrengo Church au Mrengo Mosque( Masjid). Kumbuka ni mtoto wa Dr S.A. Salim!

Mwanamke hana dini.
 
Anafaa kuwa mama mkwe wako, kwanza hautaliliwa njaaa, pili, unaweza predict mkeo akizeeka atakuaje.
 
Aisee kibo bora wewe umejitoa muhanga,nilifikiria ni mie peke yangu.Aise yule dada mzuri ile mbaya,halafu anasura na haiba ya Kindoa ndoa.Mstaarabu sana.
Yaani ukimuona lazima moyo upige,ila mie nikukutanae lazima nimuambie kwamba ....,halafu niweke foleni ya jiwe.
Tatizo wale huwa hawaachiki hovyo,labda tumtafute tumuulize kama anamtoto anaefanana na yeye ili tukimbizane.
Mie yule angekuwa mke wangu lazima nimroge kwanza asinikimbie,
 

Pole mkuu haya maradhi ya kupenda kwa mbali ni mabaya mno full mateso mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…