Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yakhee! Atakuwa Msukuma huyoo!
Ndio walokua na color blindness
kwani idd el fitri ni lini wakuu!
Katelelo unaliweza??!.
Mama yetu huyu tuwe wakweli kaumbika kiukweli! Tumpe sifa zake, sura nzuri rangi pia iko angavu! Naamini kwenye Cabinet nzima yeye ni CUTE namba moja.
mmmh huyu waziri Kairuki ana kidomodomo yan kwa ufupi hajatulia..Pia ni mchpkj wa kutupwa...Ila kwa ngozi nzuri kajaaliwa....Pale ukienda ukipiga goli misuli ya kuunga p..umb..u na mapaja itavuta kwa utamu uliopitiliza then utaishia kuumwa...Pale wanapigapiga vigogo kimtindo hata uwaziri kapewa kwa chapuo hana lolote kichwani...!
Mbona wa kawaida?
Pia kuna yule Pindi Chana. miye hoooi hivi ana ndoa yule? msinilaumu napenda wenye sura innocent halafu wafupi!
hizi hapana, weka zile zenye neema za alla...
Ok, nashukuru kwa kujuzwa hilo
Ndo uzuri wa JF. Kuna mdau kauliza swali fulani je Angel ni wa mrengo Church au Mrengo Mosque( Masjid). Kumbuka ni mtoto wa Dr S.A. Salim!
Aisee kibo bora wewe umejitoa muhanga,nilifikiria ni mie peke yangu.Aise yule dada mzuri ile mbaya,halafu anasura na haiba ya Kindoa ndoa.Mstaarabu sana.Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh!Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia
Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza ni kwa njia na gharama yoyote maana mh anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!
Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi
Aisee kibo bora wewe umejitoa muhanga,nilifikiria ni mie peke yangu.Aise yule dada mzuri ile mbaya,halafu anasura na haiba ya Kindoa ndoa.Mstaarabu sana.
Yaani ukimuona lazima moyo upige,ila mie nikukutanae lazima nimuambie kwamba ....,halafu niweke foleni ya jiwe.
Tatizo wale huwa hawaachiki hovyo,labda tumtafute tumuulize kama anamtoto anaefanana na yeye ili tukimbizane.
Mie yule angekuwa mke wangu lazima nimroge kwanza asinikimbie,
kwani idd el fitri ni lini wakuu!
Baba yake ni Salim A. Salim