Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

huyu mheshimiwa rangi tu inambeba lkn siyo beautiful onyinye kabisa.Waziri wa fedha mama Saada Mkuya kile ndio chuma(nisamehe mama yangu najua u-mtu mzima),nadhani hata watoto wake watakuwa moto wa kuotea mbali.

Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.Yule mmama ana uzuri gani jamani?Na ule mdomo sasa mhhhhh???
 
Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.Yule mmama ana uzuri gani jamani?Na ule mdomo sasa mhhhhh???

Nashindwa kushangaa...ingawa ni dhambi kuponda mtu...lakini wananilazimisha sababu ya kutoa sifa ambazo hazipo...unadhani kwa nini anavaa dera style muda wote...
 
Nashindwa kushangaa...ingawa ni dhambi kuponda mtu...lakini wananilazimisha sababu ya kutoa sifa ambazo hazipo...unadhani kwa nini anavaa dera style muda wote...

Anaweza ikawa ni uamuzi wake na pia kutokana na imani yake.Sio vizuri kumponda ila mie sijauona huo uzuri wake kwakweli
 
Duuuh ushafika eeeh nimetoka nao mbali enzi za Jakaya
 
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.

Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!

Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi
Aisee.

Pole mkuu
 
kwani huyu ni Naibu waziri wa Katiba na sheria au Waziri Utumishi na Utawala
 
Back
Top Bottom