Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Basi isiwe tabu

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
mimi ni mwanamke tena rijali hahaha
received_1083605491709891.jpeg
 
Kila amtamae mwana

Kila amtazamae mwanamke kwa jicho la kutamani amekwisha kuzini naye! Usimtamani mke wa jirani yako! Ndo maana Miafrika hatuendelei tunawaza wake za watu. Alichonacho huyu mama na mke wako anacho pia!
Acha mama wa watu achape kazi wenzio tumeshaanza viwanda! Nina charahani tatu na baiskeli sita.

Na anapiga kazi kweli kweli. Mkulu ameanza kwa kufunga cherehani kwenye tumbo la uyo mama
 
Hata mm Mkuu huyo Mamaaaaaa! huwa ananinyima usingizi sana...,sema ndyo vile ishakuwa chakula ya wakubwa huwezi igusa tena,na ikitokea umeigusa utasikia "ww cyo Mtanzania,uli-forge vyeti,unahatarisha usalama wa Taifa" noma sana kugusa chakula ya wakubwa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Beautiful lies on the eyes of the beholder..wenzetu wana akili sana..ushauri wangu kwako..ukienda maeneo ya Dodoma ile wilaya yetu ya Kondoa wapo wakali kupindukia..nenda kajitwalie mkuu hah hahhaha hahhaha
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nasikitika kukuambia kuwa Ummy Mwalimu kamfunika aisee...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.

Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!

Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi
Na domo lile kama samaki mkunga?
 
  • Thanks
Reactions: SDG


Unaweza kukuta huyu Jamaa aliyeandika huu utumbo labda hata ni Waziri Muhongo, Zito kabwe au raisi Kikwete mwenyewe!

Mmh hao watu uliowataja hasa Kikwete hivyo kwake ni sawa maji ya kunywa so sio rahisi kuandika huo upuuzi
 
Back
Top Bottom