Mh Dr. Gwajima D Kuna ujumbe wako pm

Mh Dr. Gwajima D Kuna ujumbe wako pm

Status
Not open for further replies.
Hii ni abuse, kisa waziri kajitoa kufanya kazi aina maana kila saa awekwe on the spot na kila poyoyo mwenye kujisikia kumuanzishia mada

Waziri sio mtu wa mzaha mzaha kumuita humu kama tunavyojisikia kama vile mwenyekiti wa mtaa.

You can’t please everyone minister
Hiyo ni nafasi, kila mtu anaweza kuitumikia mkuu
 
Waziri ni binadamu kwa dhana hiyo kila mtu anauwezo wa kushika hiyo nafasi.

Iła kimajukumu waziri ana deal na national policies au mambo yaliyojitokeza kuhusu wizara yake ambayo jamii inahitaji majibu yake.

Waziri ni mtu mkubwa kwenye nchi sio wa kuitwa kiholela na kuitikia wito wa hovyo hovyo kama vile yeye ni sawa na Erythrocyte ambae ana shughuli yoyote siku nzima zaidi ya kuleta uzushi JF ukimtag hana maana yeyote ajibu asijibu.

Kuna mambo ya wito wa waziri kujibu na kipuuzia

To make something special, you have got to make people believe it’s special.

Waziri mwenyewe kama ni mtu special na mwenye miakili kama ya Dorothy ana mambo mengi ya kufanya.

Sasa kwasababu kajitolea kufanya kazi aina maana tumuite kama vile yeye ni sawa members ambao awajajitambulisha rasmi.

Waziri ni mtu mkubwa Tanzania, remember that.
 
Asante kwa maarifa 👍
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom