Mie wala nisingejibu! Kama kuna anaenitaka aje anitongoze. Its none of our damned business for sure! Wanaowaruka ukuta wake zao nao mbona hawajustify kwenye media?
Nimependa hapo tu.lakini mtu anaetaka kumjua Halima na
ana uhuru tu. Hata akitaka niwatajie list ya watu
wangu i can do that
my akanana Passion Lady miss you
hahahahahahaha
miss u too honey
unanipotea siku hizi lol!!
wasijekukuiba!!
Wapo wenye tabia hiyo na still wanemegwa!
Ninaushahidi!!
hahahahahahaha
mh mbona jana tu tulikuwa wote hapa?
Nchi inayoendeshwa kwa majungu, ukiamka unawaza kumpakazi mtu, pole sana Halima.
Sasa naomba tuwasiliane basi, kwa kifupi "nakuzimikia:A S kiss:" muda mrefu, lakini sijaweza kupata connection.
Halafu sasa ukute watu wanaoeneza maneno kama hayo ni wale ambao hata kumjua hawamjui. Waja bana!
Unawashwa? I hate Mediocre in village night circus like you.