Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Kama anawajibika vizuri jimboni kwake, hakuna tatizo.
akili za makada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anawajibika vizuri jimboni kwake, hakuna tatizo.
akili za makada
r.i.p sistermmh,hapo umemuweza kweli.ngoja niwashauri wagombea watarajiwa wa ubunge jimbo la kinondoni waje wajisomee wenyewe wapate pakuanzia.
Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana kuliko mbunge yeyote hapa Tanzania na hadi kulingana na wafanyabiashara wakubwa.
Kama anawajibika vizuri jimboni kwake, hakuna tatizo.
Ametajwa na watanzania waliokamatwa na madawa ya kuelevya huko Hong Kong.Ama kweli lisemwalo lipo.Jk ana listi yao wote.Na kampuni zao Prince Ritz nasikia ana share humo ie ya yule aliyemwagiwa tindikali.
Tanzania wako wengi hawana kazi za maana lakini wanatisha kwa kuchezea hela!
Unaweza jiuliza ndo wachuna ngozi? albino? drugs????
Hutopata jibu😱
Si heri angesema hivyo kuliko kuuza nchi kama ni kweli yale ya kule China.jk anaweza sema wamekamatwa na kutajwa kwa viherehere vyao
Kwa kweli JF, ni mkombozi wa Tanganyika, hii iliandikwa 2010, imekuya kuthibiti leo,Drugs dealer! Alikuwemo kwenye list ya Amina Chifupa (RIP)