Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

Shekh yahaya mpumbavu tu, Raisi wetu haitaji ulinzi wa mashetani yake... kuhusu waganga Wamejaa kibao! utasikia leo katangaza katoa misukule 100! .. TEHETEHE!! Alafu wanaimba mapambio wasivokuwa na akili:becky:
hilo halina ubishi nafikiri kikwete tusimlaumu sana tulaumu uislamu wake maana huo ndiyo uko karibu na majini na ndiyo unaompleka kuwajibika kwa mashetani ili yampatie nguvu,
kama asemavyo shekhe yahya kuwa atampatia ulinzi usiyo onekana, wasiyoonekana ni majini na mshetani, hiyo ndiyo misingi ya dini yake. shida ni pale ikulu inapokuwa na ulinzi wa kujini, je kweli kampeni ya kudhibiti mauaji ya maalbino itafanikiwa? ikiwa mh raisi ni mtu kutegemea system hiyo?
 
Hapa ni patamu, kuna siku nilikuwa Bongo katika pitapita yangu nikamkuta mtoto wa Shekh yahya, yule mkubwa akimwaga sera. Alisema hivi alipokuwa akiwaadisia waliomzunguka 'unajua mkulu, akimaanisha JK alitinga hapo nyumbani na alikuwa akiongea kwa uchungu kweli akimweleza Sheikh Yahya, mzee nimezungukwa na fitna nyingi sana, watu ni wabaya sana! Sijui ntafanya je. Aaah bana alichomweleza mzee ni kwamba wewe tulia mie ntayapangua haya yote.'
Sasa hili linanipa uhakika wa kuwa tuna rais anayetumainia nguvu za giza. Hasa ukizingatia amewapa hawa sangoma hadhi ya kitaifa. Ona Yahya amekuwa msemaji wake wa kitaifa katika masuala ya kiza na ushirikana hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi.
Kazi kweli kweli!!
 
Shetani kabisa huyu sheikh mie muislamu lakini sikubaliani na huyu jamaa ulinzi anatoa mungu wengine ni shirki kubwa astaghfirullahi
 
Kwa mara ya kwanza shehe yahya amishindwa kuhusianisha kuanguka kwa kikwete na kuanguka kwa ccm, pili ameshindwa kutabiri matokeo kama ilivyokawaida yake! Nahisi hata nyota zake zinamuonesha kuwa upande wake umezidiwa! Nimezoea akisema "KUANGUKA KWA RAIS KIKWETE NI ISHARA YA USHINDI WA KISHINDO WA CCM, maneno yamemuisha, hata wale watabiri wa REDET na SYNOVATE kimya! Kunani mwaka huu!
 
Kwa nia njema kabisa namshauri Askofu Mama LWAKATARE ajitoe CCM , kwani atawezeje kuwa pamaoja na Mkuu anaye lindwa walinzi wasioonekana. Namuomba atoe kauli yake inaonekana nguvu za giza zinashika kasi sasa. Na viongozi wote , wabunge ,mawaziri wacha Mungu waislamu kwa wakristo hili tusiliache hivi hivi . Hii HATARI kwa mustakabali wa Taifa na DEMOKRASIA KWA UJUMLA.Haiwezekani maswala ya kitaifa kuhusiswa na imani fulani . TANZANIA HAINA DINI JAMANII. Mungu aepushe mbali.
Mama lwakatare PLSE ombea Taifa HILI .
 
shekh pole na kazi ngumu ya kumridhisa boss wako, endelea na moyo huohuo maana usupofanya hivyo utakula wapi?
kumbuka sio majini yanayopiga kura, labda mmeamua safari hii ccm muibe kura kwa kutumia majini hapo tutakuelewa.
HATULARI MBAKA KIELEWEKE,
MWAKA HUU HATUDANGANYIKI.
 
Mbona huyu mzee alilazwa huko India na hakujitibu mwenyewe?:confused2:
 
Kwa maana hiyo ni kuwa ulinzi aliopewa hautoshi. Mkuu wa usalama wa Taifa hafanyi kazi yake siyo hivyo amwachie ofisi Sheikh Yahya!!
Imebidi nicheke kama anamwongezea maana yake tayari kulikuwa na makubaliano ya ulinzi sasa anaongezea tu ila sina uhakika kama na dau litapanda. Lakini Sh Yahya anatekeleza ilani ya CCM Nguvu Zaidi na Majini Zaidi hadi kwenye ulinzi.
 
Nakumbuka jinsi gani sirikali ilivyokemea kwa nguvu zote hoja za ulozi pale bungeni (spika alijimix). Hata mauaji ya ndugu zetu maalbino source yake ilisemwa ni imani za kijinga kama hizi na sirikali iliamua kushughulika na vigagula wote. Nilitegemea karipio kali lingetolewa dhidi ya shehe yahya kwa kueneza uzushi wa hatari kama huu. Hiki kibabu si ndo kilimnyoshea JK njia ya kuteuliwa bila kupingwa kwa kudai kuwa atakaye mpinga ataishia kaburini!!?

Mwee! Mwaka huu tutasikia mengi.
 
hawa wote si walikuwa kwenye swaumu?kumuomba mungu sasa inakuwaje haya yanatokea tena
 
Leo nimesikia kwenye Magazeti kwamba Sheikh Yahya anadai kwamba Kuanguka Mara kwa Mara kwa Mh JK ni kutokana na Nguvu za Giza, sasa ameamua kumuongezea mheshimiwa Rais Nguvu zaidi "Zisizoonekana"

Swali langu Je JK na CCM ndiyo wameomba huo Ulinzi, Je wao wanasemaje kuhusu huo Ulinzi wa Nguvu za Giza, je Hii haina maana kwamba JK haamini Madaktari?

Kuna kiongozi mmoja alishawahi kusema Jamaa eti ni chaguo la Mungu. Leo anaanza kulindwa na mapepo? Kulikoni?

Huyo sheikh yahaya kwanza hana lolote(ni tapeli). alishawahi kutabiri senegal ingetolewa ya kwanza kombe la dunia 2002 kwa timu za africa. kinyume chake senegal ilifika robo fainali.

anajikomba tu
 
hilo halina ubishi nafikiri kikwete tusimlaumu sana tulaumu uislamu wake maana huo ndiyo uko karibu na majini na ndiyo unaompleka kuwajibika kwa mashetani ili yampatie nguvu,
kama asemavyo shekhe yahya kuwa atampatia ulinzi usiyo onekana, wasiyoonekana ni majini na mshetani, hiyo ndiyo misingi ya dini yake. shida ni pale ikulu inapokuwa na ulinzi wa kujini, je kweli kampeni ya kudhibiti mauaji ya maalbino itafanikiwa? ikiwa mh raisi ni mtu kutegemea system hiyo?

Huenda ikulu pasikalike kama ilivyotokea Malawi. Bingu alilambwa vibao vya kutosha tu na walinzi wasioonekana.
 
.....JK anaamini zaidi ulinzi anaopewa na waganga wake kuliko wa usalama....

lakini always ole wake anayemtumainia mwanadamu .....

Ole wake yeye amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga yake.
Jeremiah 17:5 (New International Version)


5 This is what the LORD says:
"Cursed is the one who trusts in man,
who depends on flesh for his strength
and whose heart turns away from the LORD.

Viongozi wengi ndani ya CCM wamezoea kutumia : Vitisho, wizi wa kura na Mabavu, na baada ya kuona vyote hivyo havina nafasi this year! sasa wanaamua kujaribu "nguvu za giza".

Kwajinsi navyoifahamu CCM, Ikulu, UT nk. nk. hakuna mwenye ubavu wa kukanuska kauli ya Mchawi Sheikh Yahaya!!!!!! Kila kitu kiko wazi kuwa jamaa yuko kwenye pay-roll ya Ikulu.

Kaza buti Dr. na zidi kumtegemea Mungu tu, na kwenda Magogoni ni lazima kwani Mkono wa BWANA u-juu yako.

 
mbona akiugua anaenda nje kwa matibabu hana lolote karibu TARIME shehe,uone watu wasioogopa ushirikina
 
Shekh yahaya mpumbavu tu, Raisi wetu haitaji ulinzi wa mashetani yake... kuhusu waganga Wamejaa kibao! utasikia leo katangaza katoa misukule 100! .. TEHETEHE!! Alafu wanaimba mapambio wasivokuwa na akili:becky:
Hapo umesema kweli, maana hili jambo lilipojitokeza nikamkumbuka Mchg. Lwakatare, kada wa CCM. Naye anashabikia mambo haya ya ushirikina?
 
Kila mara nikiwaona hawa jamaa nataka nihame nchi yangu ya Tanzania.Kama matamshi ya hawa jamaa ndio mwelekeo wa nchi hii,tumekwisha.

Kiongozi wa nchi anaaguka mara kwa mara,definetely ni medical condition.
Lakini Sheikh anasema hapana,ubagamoyo ndio utamlinda.
For Gods sake!
 
Sitaki kuamini kama JK amekuwa Mfalme Belshazar wa babeli anayeamini uchawi na unajimu. Kama ndivyo, basi atangaze bayana kwamba hahitaji wapambe maana mlinzi wa uhakika anaye.
 
Back
Top Bottom