King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Umenichekesha hapo bold nyekundu,lolz!guilty bwana,unaweza ukaitika hata hujaitwa!hahahahaa,ila uzuri 2015 (kama sababu ni hizi ulizotoa) hatakuwa anaomba kura tena. labda hatahitaji kuwa na hofu.😛layball:mnnnhh...kweli wewe leo uko bwaxxy mbaya...naona unachokonoa mzinga wa nyuki..au unajua wameenda kutafuta maua mazuri kwenye kampeni hawako bize hapa kukufuatilia wewe ulekuwa bwax.....any way mie namwaga mboga banaaa "mitaani watu wanasema ana nguma-lo-kito"... si unajuwa yale mambo yetu yaleeeee....hasa ukute zipu haifungi freshhhh...ahhh sana tuuu...
ila pia kuanguka kwake hasa kwenye majukwaa ya kisiasa huwa inatokana na "hofu ya nafsi" na "hisia ya ukosefu"..aka..guilty consousness...SI UNAJUA ANADAIWA MADENI KIBAO SASA ANAVYOKUTANA USO-KWA-USO NA WADENI WAKE ambao ndio sie wa-tz tunaokuwa tukimdai utimilifu wa zile "ahadi zake lukuki" basi huwa akituona majukwaani analegea mbayaa na kuishiwa nguvu...ndo maana mie nazidi kumshangaa anakopa tena ili tumdai hapo baadae...
One day hasa 2015 huyu mwananchi anaweza kutufia jukwaani....inshalllah mnyazii mungu atamjalia kheri pia na uelewa aaje "kukopa hovyo " ilhali hana uwezo wa kulipa deni la watanzania wenye kiu ya maendeleo toka kuondoka kwa mkoloni wa ki-jerumani... NI MAONI TUU NA YASITUMIKE NJE YA JAMII FORUMS PASI NA MAKUBALIANAO YA KIMAANDISHI NA MMILIKI WA MAONI HAYA