Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

leo nilikuwa nasikiliza radio maria asubuhi kipindi cha magazeti shekh yahaya alisema kikwete haumwi na amemweka ulinzi wa ziada ambao hauonekani jaman nchi inaongoza na mungu kwel ah tanzania

inawezekana ndio maana yanamzidia hayo maulinzi mpaka yanamuangusha na kumgaragaza down..!
Lol aibu gani hii kwa tanzania.
 
Itakuwa kichekesho sana pale kiongozi wa nchi kutegemea ulinzi na usalama wake kwa mganga wa kienyeji. Kwa hiyo hata alipoanguka nje ya nchi miaka kadhaa iliyopita ilikuwa ni nguvu za giza?
JK ana kitu gani hasa cha kumfanya watu wamuwangie? UFISADI?
Huyu sijui Sheikh naye anahitaji maombi maana anafikri bado tuko kwenye mfumo wa ZAMA za MAWE.
Yeye JK anajua wazi kinachomsibu, hakuna za giza wala ****** ya giza. Aje clean kwa wananchi ni nini kinamsumbua, hawawezi kumbagua kwa kutompa kura lakini wasisingizie kuwa ni nguvu za giza.
Najua wengine wataniambia kuwa Yahya si msemaji wa JK, but tunajua JK ana wasemaji wengi tu, inategemea unaongelea kwenye nyanja gani.
 
Have MERCY for TANZANIA ooh LORD JESUS.We need your grace LORD
 
Nani wa kutoa tamko wakati wote ni walewale!!!!!!!!!!!!! is upon us to say nooooooooo to them
 
Dk. Willibrod Slaa amemkemea mnajimu Sheikh Yahya Hussein aliyeahidi kumpa Rais Jakaya Kikwete 'ulinzi wa majini,' ili kukabiliana na nguvu za giza zinazomwandama na kumwangusha majukwaani.

Akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Katoro, jimbo la Busanda, Mwanza, Dk. Slaa alisema "nchi haiwezi kuongozwa na uchawi. Haiongozwi na imani za watu, kila mtu ana imani yake, lakini tusifike mahali tukaongoza nchi kwa uchawi."

Alimtaka Rais Jakaya Kikwete kumkemea Sheikh Yahya kwa kauli hiyo iliyotolewa juzi Dar es Salaam, la sivyo wananchi wataamini mnajimu huyo anatumiwa na CCM kuleta hofu katika jamii.

Aliwakumbusha wananchi kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Sheikh Yahya alisema mtu yeyote atakayegombea urais na Kikwete, atakufa. Dk. Slaa alisema: "Sisi wengine ni majabali, hatuogopi."

Posted by Ansbert Ngurumo at 9:14 PM
 
Dr.SILAHA YA UKOMBOZI WA KWELI,
Namtakia awe na aman ya kweli kwani "Tunayaweza yote katika yeye atutiae nguvu ya kuya shinda majini na nguvu zote za yule adui''.
EEee Mungu wa kweli uishie na kuabudiwa mwangalie huyu mtuambaye anataka kuiongoza nchi kwa mkono wa kuzimu, Mungu ongoza nchi yetu kwani kila utawala watoka kwako, na iwe hivyo kwa jina lipitalo majina na majini yote,la Yesu kristo mwana wa Mugu aliye hai."Amen.
 
ha ha ha ha
MUNGU wa mbinguni akulinde Mheshimiwa Slaa.

Wape dozi hivyo vibabu vichawi .... maana ndivyo vinarudisha nchi hii nyuma
 
mie nikuuluzeni mungu gani anaekuwa na mzinzi?

unajua biblia imakataza sana uzinzi

na inamini familia na jamii bora ni ile watu waliooana na sio kukamatana wakazaa(kama alivyofanya Dr slaa kwa mwanamke wa kwanza), kuchochea kuvunjika ndoa za wengine kwa kuwaibia wake/waume zao

na tunapotafuta rais moja ya kazi yake ni kujenga jamii yenye maadili, ambayo hii ndio itakuwa na uelewa na uwezo wa kujenga uchumi ulio imara

itawezekanaje taifa linaloongozwa na mzinzi na aliefeli maadili kutufikisha hapo?
 
I think you are not a Christians, and if you are a christian you don't know the bible. ...alikamatwa mwanamke mzinzi wakataka kumpiga mawe, Yesu akasema asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kumpiga mwanamke huyu mawe, hakuna aliye diriki kufanya hivyo. Maneno yako tu yanaonyesha wewe ni mchafu kabisa. Mimi nimeokoka nina ndoa nzuri sana lakini kamwe sitaweza kumuhukumu Dr. Silaa, eti kwa sababu ya dhambi!!. Biblia nadhan na koran pia inasema wote tu wadhambi tumetenda dhambi na tunatenda dhambi hivyo tunahitaji msamaha wa Mungu.
 
Hizi ni aina ya siasa ambazo Dr. Slaa alipaswa ajiepushe nazo...anarudi kule kule kwenye mipasho sasa...!
 
Hizi ni aina ya siasa ambazo Dr. Slaa alipaswa ajiepushe nazo...anarudi kule kule kwenye mipasho sasa...!
He bothers you for sure, but he spoke a point! A nation 'd not be governed by metaphysics and Superstition! I am sure this current president is doing a lot of Horoscope before doing anything, that is why our country is here now! Uswahiliiiiiiiiiiii!!!!!!!
 
mie nikuuluzeni mungu gani anaekuwa na mzinzi?

unajua biblia imakataza sana uzinzi

na inamini familia na jamii bora ni ile watu waliooana na sio kukamatana wakazaa(kama alivyofanya Dr slaa kwa mwanamke wa kwanza), kuchochea kuvunjika ndoa za wengine kwa kuwaibia wake/waume zao

na tunapotafuta rais moja ya kazi yake ni kujenga jamii yenye maadili, ambayo hii ndio itakuwa na uelewa na uwezo wa kujenga uchumi ulio imara

itawezekanaje taifa linaloongozwa na mzinzi na aliefeli maadili kutufikisha hapo?
Hivi kuna mzinzi kumzidi JK? Who has some special trips abroad [as a president] for visiting mistresses? Unataka tukwambie? WE don't need Majitaka politics.

CCM is dump dead; dead; what is your next move: Go and ask TingaTinga; he has plan B whic will fail and he may try C. By the way a massive deflection is coming; watch-out.
 
Kikwete ame-declare publicly kuwa ana mke mmoja tu, Salma. Watoto wote 8 ni wa Salma?
 
Hivi kuna mzinzi kumzidi JK? Who has some special trips abroad [as a president] for visiting mistresses? Unataka tukwambie? WE don't need Majitaka politics.

CCM is dump dead; dead; what is your next move: Go and ask TingaTinga; he has plan B whic will fail and he may try C. By the way a massive deflection is coming; watch-out.

una hakika ?
 
Black magic in Islam, is totally prohibited and must be kept away at all time. A person is not in any condition is permitted to use the black magic to help overcome his/her nessesities. In Islam, a person is a mushrik or a polytheistic if he is engaged in Black magic. The Prophet (peace and blessings be upon him) said, "Whoever blows on knots practices magic, and whoever practices magic is a mushrik (polytheist)." (Reported by At-Tabarani)

`Abdullah ibn Mas`ud reported, "Anyone who goes to a diviner, a practitioner of magic or a soothsayer, asking something and believing in what he says, denies what was revealed to Muhammad." (Reported by Al-Bazzar and Abu Ya`la)

Magic can be dispelled through magicians themselves or sorcerers or through applying their methods. However, it is forbidden to go to a magician or a soothsayer or the like to dispel the magic as stated in the hadiths of the Prophet.

Magic can also be dispelled by the power of the Glorious Qur'an, which was sent down as a cure and mercy for believers; doing so is highly commendable. This is based on what is known in the Sunnah that angel Gabriel used the Qur'an (Al-Mu`awwidhatayn, or the Two Protective Surahs, i.e. Al-Falaq and An-Nas) in dispelling the evil charm done to the Prophet (peace and blessings be upon him) by the Jews. Moreover, surat Al-Baqarah is known to have the power of driving away evil spirits and dispelling magic.

Regarding Black magic and how to dispel it, the eminent Muslim scholar, Sheikh Muhammad Al-Hanooti, member of the North American Fiqh Council, states:

"The Qur'an talks about black magic in surat Al-Baqarah: "And they followed what the Shaitans chanted of sorcery in the reign of Sulaiman, and Sulaiman was not an unbeliever, but the Shaitans disbelieved, they taught men sorcery and that was sent down to the two angels at Babel, Harut and Marut, yet these two taught no man until they had said, "Surely we are only a trial, therefore do not be a disbeliever." Even then men learned from these two, magic by which they might cause a separation between a man and his wife; and they cannot hurt with it any one except with Allah's permission, and they learned what harmed them and did not profit them, and certainly they know that he who bought it should have no share of good in the hereafter and evil was the price for which they sold their souls, had they but known this." (Al-Baqarah: 102 )þ

Another reference from the Qur'an is surat Al-Falaq: "Say: I seek refuge in the Lord of the dawn. From the evil of what He has created. And from the evil of the utterly dark night when it comes. And from the evil of those who blow on knots. And from the evil of the envious when he envies." (Al-Falaq: 1-5)

There is another verse that is relevant to this issue from surat Al-Baqarah: "Those who swallow down usury cannot arise except as one whom Shaitan has prostrated by (his) touch does rise. That is because they say, trading is only like usury; and Allah has allowed trading and forbidden usury. To whomsoever then the admonition has come from his Lord, then he desists, he shall have what has already passed, and his affair is in the hands of Allah; and whoever returns (to it)-- these are the inmates of the fire; they shall abide in it." (Al-Baqarah: 275)

From the above verses from the Glorious Qur'an and Hadith, it is explicit, that Black magic is Haram, and one's doing so, one becomes a mushrik.

Narrated Sad: Allah's Apostle said, "He who eats seven 'Ajwa dates every morning, will not be affected by poison or magic on the day he eats them." (Al-Bukhaari 65, Hadith 356)

this guy he was not supposed to be dressed as shekh!.. na hana bahati hatuna sharia TZ , tungekuwa na sharia tungeshanyonga washirikina wote kama hawa
 
mie nikuuluzeni mungu gani anaekuwa na mzinzi?

unajua biblia imakataza sana uzinzi

na inamini familia na jamii bora ni ile watu waliooana na sio kukamatana wakazaa(kama alivyofanya Dr slaa kwa mwanamke wa kwanza), kuchochea kuvunjika ndoa za wengine kwa kuwaibia wake/waume zao

na tunapotafuta rais moja ya kazi yake ni kujenga jamii yenye maadili, ambayo hii ndio itakuwa na uelewa na uwezo wa kujenga uchumi ulio imara

itawezekanaje taifa linaloongozwa na mzinzi na aliefeli maadili kutufikisha hapo?

Kama tutatumia vigezo vyako inamaana hapana mwislam ambaye angevuka chujio la wakristo kwa vile katika ukristu ndoa halali ya ya mke mmoja tu. However ukristu unakwenda mbali zaidi ya hapo.

"Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu." - Kumb 18:10,11
 
Alisema kwamba Mtu Atakayempinga JK atakufa, Ikulu kupitia Salva Ikasema hayo ni maoni yake na ni lazima yaheshimiwe

Akasema Kwamba atatumia nguvu "zisizoonekana" kumlinda JK. Ikulu na Chama vimekaa kimya ina maana imekubaliana naye au tuseme ikulu inandelea kuheshimu Uhuru wa Mlozi huyu

Sasa nauliza Je Siku Huyu Mlozi akija na Request ya mkono wa Albino ili aweze kufanya kazi yake je Ikulu itaendelea Kuheshimu maoni ya Mlozi huyu?
 
Sasa hivi anasoma post yako na Nguvu zisizoonekana. Joke!
Ukweli ni kwamba Kuna watu wanatumia ushirikina sana Kuingia madarakani.
Kama sikosei huyu jamaa anawapa support kubwa.
Kumbuka katika chaguzi za Kenya alisema kuna fimbo fulani anauza, Na atakeye nunua atakua rais.
Cha ajabu zile fimbo zilikua Nyingi. nikajiuliza kama wangnunua wagombea wote ingekuaje?
Labda walinunua wengi ndio maana yalitokea yaliyotokea.
Nashangaa uchaguzi huu wa Tanzania hajatangaza Biashara yake hiyo.
Hii ina maana hana haja ya kuwauzia wengi coz kuna jamaa kashavibamba vyote.
Tumuombe Mungu Slaa ataingia ikulu. Nguvu ya giza haiwezi kumshinda Mungu.
Kwa sala Zetu Slaa atashinda tu
 
Alisema kwamba Mtu Atakayempinga JK atakufa, Ikulu kupitia Salva Ikasema hayo ni maoni yake na ni lazima yaheshimiwe

Akasema Kwamba atatumia nguvu "zisizoonekana" kumlinda JK. Ikulu na Chama vimekaa kimya ina maana imekubaliana naye au tuseme ikulu inandelea kuheshimu Uhuru wa Mlozi huyu

Sasa nauliza Je Siku Huyu Mlozi akija na Request ya mkono wa Albino ili aweze kufanya kazi yake je Ikulu itaendelea Kuheshimu maoni ya Mlozi huyu?

Mwacheni mzee apate riziki yake katika umri ule...!

Hv hujui kuwa ccm walitangaza kwamba watapata ushindi kwa gharama yoyote, unadhani kufanya hivyo watajiuliza mara ya pili?
 
Back
Top Bottom