Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Kwa nini una wa undermine CHADEMA kiasi hicho? unadhani ni CCM peke yao ndio wana uwezo wa ku play dirty?
Si-undermine CHADEMA, pia sitaki kutumia hisia dhidi ya CHADEMA au CCM!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini una wa undermine CHADEMA kiasi hicho? unadhani ni CCM peke yao ndio wana uwezo wa ku play dirty?
Si-undermine CHADEMA, pia sitaki kutumia hisia dhidi ya CHADEMA au CCM!
Unauhakika hautumii hisia zako dhidi ya mtu au chama? maana kwa mwenye akili za kawaida tu anaweza kukupa mifano zaidi ya laki tano ya sheikh Yahaya akihusisha majina ya watu na ushirikina au hata nguvu za giza, lakini haikuwahi kuwasumbua watu, leo kutajwa JK watu mmekesha kama sio hisia nini?
Alitajwa BMW akiwa rais kujihusisha na dini ya mashetani hoja ikawa sheikh Yahaya ni mropokaji, leo ametajwa JK hilo la uropokaji limegeuka mtaji wa kisiasa, unataka niamini bado hakuna hisia hapo? come on admit si dhambi si ndio michezo ya kisiasaJK ni Rais wa nchi, anapolindwa na "nguvu zisizoonekana," kama alivyodai Sheikh Yahya, watu wasiulize maswali? Hakuna hisia yoyote hapo!
I think you are not a Christians, and if you are a christian you don't know the bible. ...alikamatwa mwanamke mzinzi wakataka kumpiga mawe, Yesu akasema asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kumpiga mwanamke huyu mawe, hakuna aliye diriki kufanya hivyo. Maneno yako tu yanaonyesha wewe ni mchafu kabisa. Mimi nimeokoka nina ndoa nzuri sana lakini kamwe sitaweza kumuhukumu Dr. Silaa, eti kwa sababu ya dhambi!!. Biblia nadhan na koran pia inasema wote tu wadhambi tumetenda dhambi na tunatenda dhambi hivyo tunahitaji msamaha wa Mungu.
Alitajwa BMW akiwa rais kujihusisha na dini ya mashetani hoja ikawa sheikh Yahaya ni mropokaji, leo ametajwa JK hilo la uropokaji limegeuka mtaji wa kisiasa, unataka niamini bado hakuna hisia hapo? come on admit si dhambi si ndio michezo ya kisiasa
Sijajua kwamba unataka ni-admit nini hasa! Kwamba Sheikh Yahya anatumiwa na CHADEMA/TLP kisiasa na si kujiropokea mwenyewe? Lete proof ili ni-admit, ok?
Nitafutie namba ya huyo mganga aliyejengewa ghorofa mimi akinipa urais nataka kumnunulia sheli na meli.Uchawi wa kikwete ni siri kwa nani? Mimi naishi kunduchi kuna mganga wa kienyeji ametolewa bagamoyo amejengewa ghorofa hapa.
mie nikuuluzeni mungu gani anaekuwa na mzinzi?
unajua biblia imakataza sana uzinzi
na inamini familia na jamii bora ni ile watu waliooana na sio kukamatana wakazaa(kama alivyofanya Dr slaa kwa mwanamke wa kwanza), kuchochea kuvunjika ndoa za wengine kwa kuwaibia wake/waume zao
na tunapotafuta rais moja ya kazi yake ni kujenga jamii yenye maadili, ambayo hii ndio itakuwa na uelewa na uwezo wa kujenga uchumi ulio imara
itawezekanaje taifa linaloongozwa na mzinzi na aliefeli maadili kutufikisha hapo?
Sijamtetea ila nimetumia logic ya kawaida tu, kama mume akidai haki zake kwa kuibiwa na kudhalilishwa kwa kuibiwa mkewe ni mbinu ya CCM kumchafua Slaa basi inawezekana pia Mchawi kujihusisha na JK ni mbinu ya CHADEMA kumchafua JK.
sio habari za kusikia, ilitangazwa kwenye vyombo vya habari, ila jamani JK na ushirikina, mbona sura yake haielekei kuwa maimuna kiasi hicho? ndiyo maana anafanya blunders nyingi kwani kajifunika ndani ya ushirikina!Shehe Yahya Hussein halindi Serikali, na amekua akimlinda JK Kikwete tangu siku nyingi tu, anasema atamuongezea nguvu.
hajasema atailinda serikali, hayo ni makubaliano ya Shehe Yahya na Kikwete, wanakutana wapi na vipi wanajuana.ila lililowazi ni kua JK amepokea huduma hiyo, ni yeye mwenyewe wakukanusha, kukubali na kumkana mtu huyo.
lakini wana urafiki wa karibu hawa, nasikia JK aliwahi hata kumpeleka mganga wake hospitali nje ya nchi kwa ukaribu wao.
Kama katika karne ya 21 (ya Sayansi na Teknolojia), Tanzania tunaongozwa na watu washirikina/au wanaoamini washirikina na voodoo kama huyu Sheikh, basi tusione ajabu nchi hii ikirudi nyuma badala ya kwenda mbele.
It is a shame and scandallous, in this day and age to stoop so low in the search for power. Surely it is for the alleged receiver of this voodoo help to deny and refute vehemently, otherwise he is patently unqualified to lead us into a modern
state.